Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Last edited by a moderator:
Anaishi na najisi ndani?
Amfukuze huyo mlaaniwa
 
bora ulivyonisaidia mamito yaani tofauti kama nakumbuka huyo walikuwa wanatoka kwenye sherehe huyu kazini ila maudhui ni moja,....
Mi nikisema wanaume hakuna watu wanabisha ona sasa eti huyu nae ni baba????
baba ubwabwa? Tena uliochacha
 
Makubwa zaidi ya musa na ya firauni daaah!!!

Kwanza pole kwa huyo dada, pili huyo mumewe bado yuko home au kakimbia nyumba kwa aibu? Je anakuja kumuona hospitali? Watoto wao wanaumri gani? Kama wamama wa pande zote mbili wamejua je watoto wao nao wamejua? Je kabla ya kumkuta mume wake akiliwa live channel O mambo ya 6*6 alikuwa anaperform kama kawaida? au ndo alikuwa hamna kwa sababu ya kutoa huduma kwengine?
mmmh hii haifikiriki wala haiingii akilini ila kizazi tunachoishi sasahivi ni tabu kwelikweli hasa kwa watu wa mjini.

Nionavyo mimi kwanza wakapime VVU, pili wajaribu kuwaona wataalam wa saikolojia ajue chanzo cha yeye kuanza kuliwa tigo na jinsi ya kulimaliza. Kuhusu mahusiano ya ndoa kama iendelee au isiendelee ni baada ya tiba ya kuacha kuliwa tigo hapo wote watakuwa wamepona majeraha na wanaweza kufanya maamuzi ila kwa sasa kufanya maamuzi ni mapema mno.

Angalizo jingine ila hili ni la kizushi zaidi, kwa wanandoa wote na mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu maana jambo kama hili kama halijakukuta laweza kukukuta wakati wowote, inabidi kuanza kuchunguzana na kukagua mbunye za mwenza wako kila mnaponyoana nywele za sehemu za siri, kidogo unaweza ona kama tayari mwenzio kaanza kamchezo na wewe kuanza kumshauri mapema aache hako kamchezo kabaya.

Pokea pole kwa niaba ya huyo jirani yako ila nauliza swali kwa wadau wengine mnisaidie, hivi mwanaume akiwa shoga au analiwa na mwanaume mwingine anaweza mtia mwanamke au akawa na hamu na mwanamke? Bado anakuwa na nguvu za kiume za kusimamisha au ndo inakuwa basi tena? naomba kufahamu tuu tafadhali.
 
bora ulivyonisaidia mamito yaani tofauti kama nakumbuka huyo walikuwa wanatoka kwenye sherehe huyu kazini ila maudhui ni moja,....
Mi nikisema wanaume hakuna watu wanabisha ona sasa eti huyu nae ni baba????

acha tu mdogo wangu hii ni balaaa. mungu atunusuru tu. ila mm nisingeweza kuvumilia bana acha tu lol!
 
Huyo jamaa kama namfahamu vile?ni mangi black na mwenye umbo kubwa kubwa hivi kama cjakosea?ila ni mzoefu wa siku nyingi aka shoga mbabe!Mungu tunusuru kwa watoto tunao zaa
 
Haya mambo mengine, bora tuendelee kuyasikia kwa jirani. Yaani baba chanja nnavyomuona wa maana kwangu na misuli yote aliyonayo nimkute analalama......mxchssss.....
 
Kwa mujibu wa bidada, mumewe alikuwa akiperform kama kawaida tu wala yeye hakuhisi tofauti yoyote. Anahisi pengine mumewe alikuwa bwabwa hata kabla hawajaoana maana kama angeanzia kwenye ndoa lazima angehisi tofauti. Watoto ni wadogo chini ya miaka tisa. Sidhani kama wamejua.
 
Wana MMU habari zenu?

Nianze kwa kuwatakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2013.

Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na kaukaribu fulani hivi.

Juzi nikapata taarifa kwamba amelazwa hospitali anaumwa. Kiungwana nikaenda kumjulia hali hospitali; si nikamuuliza nini kinamsumbua, lol alichonijibu ndiyo kilichosababisha nianzishe huu uzi.

Siku ya tukio bidada aliondoka asubuhi kwenda kazini kama kawaida yake, huwa anawahi kutoka kabla ya mumewe ambaye ofisi yake ipo karibu zaidi na nyumbani. Muda wa saa nane hivi akalazimika kurudi nyumbani kwa kuwa alikuwa hajisikii vizuri akahitaji kupumzika (kawaida hutoka kazini saa 11 na kufika home around saa 12). Anasema alipokaribia mlango wa mbele wa nyumba yao akawa anasikia sauti za miguno ambazo si za kawaida, akaingia kupitia jikoni, akamuuliza housegirl ni nini hicho nakisikia, binti anamtolea macho tu bila kumjibu. Kumbe binti alikuwa anajua kinachoendelea ila akashindwa amwambieje boss wake!

Kuingia chumbani alichokikuta hakukiamini, anamwona mumewe ameinamishwa analawitiwa na rafiki wa mumewe ambaye anamfahamu vizuri na kumheshimu kama shemeji! Akazirai hapohapo, kushtuka ndio anajikuta yupo hospitali.

Huyu dada yupo kwenye ndoa na mumewe kwa miaka tisa sasa na wana watoto wawili. Anasema hakuwahi hata kuhisi kama mumewe ni shoga. Hana hamu tena kuendelea na ndoa.

Ushauri wenu wana MMU tafadhali dada afanyeje? Ndio ameshamkuta mumewe akiliwa na mwanaume mwingine, tena chumbani kwao, juu ya kitanda chao anacholala yeye na mumewe! Tena mume mtu ndio kanogewa na anatoa miguno na sauti za mahaba!

Hayatuhusu. This is private business.
 
Makubwa zaidi ya musa na ya firauni daaah!!!

Kwanza pole kwa huyo dada, pili huyo mumewe bado yuko home au kakimbia nyumba kwa aibu? Je anakuja kumuona hospitali? Watoto wao wanaumri gani? Kama wamama wa pande zote mbili wamejua je watoto wao nao wamejua? Je kabla ya kumkuta mume wake akiliwa live channel O mambo ya 6*6 alikuwa anaperform kama kawaida? au ndo alikuwa hamna kwa sababu ya kutoa huduma kwengine?
mmmh hii haifikiriki wala haiingii akilini ila kizazi tunachoishi sasahivi ni tabu kwelikweli hasa kwa watu wa mjini.

Nionavyo mimi kwanza wakapime VVU, pili wajaribu kuwaona wataalam wa saikolojia ajue chanzo cha yeye kuanza kuliwa tigo na jinsi ya kulimaliza. Kuhusu mahusiano ya ndoa kama iendelee au isiendelee ni baada ya tiba ya kuacha kuliwa tigo hapo wote watakuwa wamepona majeraha na wanaweza kufanya maamuzi ila kwa sasa kufanya maamuzi ni mapema mno.

Angalizo jingine ila hili ni la kizushi zaidi, kwa wanandoa wote na mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu maana jambo kama hili kama halijakukuta laweza kukukuta wakati wowote, inabidi kuanza kuchunguzana na kukagua mbunye za mwenza wako kila mnaponyoana nywele za sehemu za siri, kidogo unaweza ona kama tayari mwenzio kaanza kamchezo na wewe kuanza kumshauri mapema aache hako kamchezo kabaya.

Pokea pole kwa niaba ya huyo jirani yako ila nauliza swali kwa wadau wengine mnisaidie, hivi mwanaume akiwa shoga au analiwa na mwanaume mwingine anaweza mtia mwanamke au akawa na hamu na mwanamke? Bado anakuwa na nguvu za kiume za kusimamisha au ndo inakuwa basi tena? naomba kufahamu tuu tafadhali.

my wee kwanza HAPPY NEW YEAR!
kwenye bold hapo ukweli ni kwamba wapo wa hivo wanaitwa MCHICHA MWIBA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom