Hata kikwete ni mwana jamvi?

Status
Not open for further replies.

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.

NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?

Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU

WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!
 
Kuna siku nilimpa simu mdada flani hapa jiani yangu, kwenye kukagua nyimbo zangu akakuta nyingine zimekuwa named "jamiiforums"...akastuka, akaniuliza kumbe na wewe unaingia Jamiiforums, nami nikastuka, nikamuuliza we umeijuaje JF, akanijibu, maza na mshua hawawezi kupitisha siku bila kutipia na kupost kwenye JF...halafu hao madiingi nawaheshimu kichizi, so haya mambo yapo hivyo bana!!
 
kweli nimetoka kapa kabisaa... sijui lengo la mleta mada ni lipi
 
Ni kweli hata mkuu wa kaya anaweza kuwemo jamvini lakini ID kuijua sahau ni top secret kwa MoDs.
 
Jamani mzee JK asiwe mwana jamvi tena..!?, sidhani. JF ni mtandao maarufu sana ambao sidhani pia kama kuna mwanasiasa hapa Tz ambaye anaweza ku-miss kuutambua. Mimi sio mwanasiasa ila huwa na interest ya kufuatilia mambo mbalimbali ya siasa n.k. Siku moja nilikuwa nasikiliza BBC Swahili, kulikuwa na interview inafanyika kati ya reporter mmoja wa BBC na kiongozi fulani wa JamiiForums. Hivyo ndivyo nilivyokuja kujua kumbe kuna kitu kinachoitwa JF...! Sasa basi kwa jinsi ile interview ilivyokuwa naamini JF ina attract attension ya watu wengi sana na kama nilivyowaki kusoma humu jamvini kuwa eti kumbe mzee pia ni mtu wa Facebook basi naamini hata humu pia tunae huyo...! Sasa sijui.., labda ndio Rejao kama alivyonadi mkuu hapo juu..!
 
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.

NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?

Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU

WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!

Waambie magwanda ambao matusi ndiyo ahadi zao kwa chama chao.
 
Ndo maana naipenda jf, hapa ndo sehem pekee ambapo hata dingi au maza ako unaweza kumpa kubwa hakuna sehem ingine.
Hapa ni free talk haijalishi unaongea na nani na ndo maana jf inazidi kupasua anga.
Huyo mkuu wa kaya nae anapewa kubwa hapa na anazisoma.
 
Unaonekana uko nyuma kifikra yaan unagundua leo ishu ya miaka kadhaa iliyopita.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom