Hata kikwete ni mwana jamvi?

Hata kikwete ni mwana jamvi?

Status
Not open for further replies.
Mimi huwa na wasiwasi hapa kuna hatari ya baba na binti kutongozana!
 
kuna watu najua kabisa umri wao umeenda kama FAIZA FOX,ASPRIN na Husninyo ni 37 yrs Tasker bariid 44, mwita25 yeye tulisherekea juzi 33 yrs mzee 26, mzee mwanakijiji 46 Ashadii 34, Rejao 29.lakini wengne pamoja na umri mkubwa walionao wanaongea pumba hadi wanashushuliwa...niwataje??
 
ndio maana panaitwa jamii forums.

Mie nshatongozwa kwa pm na vijukuu vyangu. Lol. Raha iliyoje.

aliyekutongoza nae kiazi hata wewe kwa majibu yako tu hapa jamvini yatosha kuku degrade to -000.0001
 
Kama JK ni mwanaJF na hasikii ushauri na maoni ya jamvini basi sikio la kufa halisikii dawa.Au akimaliza Urais anatarajia kwenda kuishi USA?
 
Naona vimeanza vijembe sasa mie yangu macho
 
aliyekutongoza nae kiazi hata wewe kwa majibu yako tu hapa jamvini yatosha kuku degrade to -000.0001

faizafoxy umri wake ni zaidi miaka 45
na wewe ulieanzisha mada uko chini ya 30
probably ana weza kukuza ,tena mtoto wa tatu labda....

sasa unaanzisha thread kuhusu nini na wewe unafanya nini???????
 
kweli nimetoka kapa kabisaa... sijui lengo la mleta mada ni lipi

Kwa uelewa wangu lengo la mleta mada nirahisi na jema, kuwa nyie vijana mnapochangia mada humu janvini muwe na busara kwani mnapotumia lugha za matusi hamumnjui mumtukanae; anaweza kuwa baba yako ama mkweo!!!
 
Cha kushangaza ni huyohuyo mleta mada anapoanza kuteremsha matusi.
 
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.

NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?

Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU

WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!
Unamtisha nani?
Kama ni baba yako ni baba yako< siyo wote
Na kama yupo hapa aingia na ID yake na atujuze tunayotaka kujua sio kuonge maneneno kama ya taarab.Hatuishi kama ma misheni town.hii ni karne nyingine tumechoka natunaitaji mababiliko
Na hapa JF ni sehemu ya watu wenye upeo tofauti ndo maana inaitwa nyumba ya wenye fikiri kubwa>
 
Acha uoga aliekwambia anamtisha mtu nani?
Unamtisha nani?
Kama ni baba yako ni baba yako< siyo wote
Na kama yupo hapa aingia na ID yake na atujuze tunayotaka kujua sio kuonge maneneno kama ya taarab.Hatuishi kama ma misheni town.hii ni karne nyingine tumechoka natunaitaji mababiliko
Na hapa JF ni sehemu ya watu wenye upeo tofauti ndo maana inaitwa nyumba ya wenye fikiri kubwa>
 
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.

NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?

Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU

WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA![/QUOTE
so wat????????????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom