Wakuu wa Posta ni wa wakina nani?! WACHAWI

rajiih

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
483
732
Habari za wakati huu mwana JF poleni na majukumu ya kazi.

Maada kuu hapa ni kuhusiana na Mambo ya kidunia hususani kwa Yale ambayo tunayoyajua na pengine kusikia tu na wengine kuyaona ikiwa wamekwisha yapitia katika Maisha yao huko nyuma na hata sasa.

Juzi Kati hapa nilikuwa moja kati ya vijiwe vya kahawa pale maeneo ya Soko la Karume na ilipo makao makuu ya shirikisho la soka Nchini yaani TFF. Wakati vijistori vya hapa na pale vikiendelea kama kawaida ya vijiwe hivi Mara akafika bwana mmoja mwenye muonekano wa Viongozi wa dini ya kiislam wale tunaowaita Masheikh.

Baada ya wakati wa Maada za kimichezo zikiendelea ndipo ikaja maada ya hawa wakuu wa Posta ( WACHAWI ) ndipo huyu Shekhe akaanza kuelezea namna dunia hii tunayoijua mm na ww hapo na hapa nikapata wasaa wa kufahamu kuwa unavyodhani Ndivyo kumbe sivyo. Na kuna mambo mengi yanaendelea pengine Mungu ameruhusu tuyafanye lakini kwa wajanja wachache waliowahi kuutambua ukweli wanatupiga Pini zao uchwara kuwa ni Haramu na Mungu hapendezwi ili tu tubaki kuwa chini yao.

Akatolea mfano Mchungaji Mwamposa kuwa ataendelea kula pesa za wajinga wake yaani Waumini mpaka anakufa bila kushituka. Hawa wakuu wa posta ni hatari sana katika jiji hili la Dar es salaam nia na maagano yao Makuu katika Ulimwengu wao ni

01 Hakuna tokea MTU afanikiwe kimaisha au kwa chochote huku wao wakiwa wanaona.

02 Wanahakikisha kwa walio chini bhasi waendelee kubaki chini zaidi ya hapo walipo hapa namaanisha Kimaisha ya kawaida tunayoyaishi.

03 Kupanda vyeo katika Ulimwengu wao wa Kichawi na kuongeza Nguvu zaidi za kichawi katika himaya yake hapa ni kwa Mchawi mmoja mmoja.

Yako mengi ila kwa uchache tu ndugu zangu Kumbe Siku ya mwisho wa Hukumu Mungu ameviweka viumbe vyake viwili pekee ambao ni sisi Wanadamu na Majini maana ndivyo kavipatia Akili na ataenda kutuuliza namna ambavyo tumeitumia Akili hii. Akatoa hadithi ya Mussa alivyouwa yule Askari aliyekuwa anawatesa wana wa Israel pale Misri akauliza hivi unadhani ya Mussa kufanya mauwaji Je,.. Alipata dhambi?! Na mifano mingi ya namna hii kumbe kuna Jambo unaweza lifanya likawa ni halali mbele ya Mungu.

Una watoto 4 ila unaishi kimasikini Toa sadaka mmoja pata Mali somesha hawa wa 3 waliobaki wakifanikiwa watasaidia Yatima, Masikini wasiojiwez, watatoa sadaka, Zaka na kwa watu wenye Mahitaji mengineyo hapo utapata baraka mbele za Mungu. Hivyo hakuna Dhambi

Kujiweka kinga za kidunia si dhambi hivyo unaweza kwenda kujikinga dhidi ya wabaya na Mungu akaweka Kinga zaidi ya ile uliokwenda kuitafuta.

Dunia inakwenda kwa Mfumo wa Kimahesabu aisee na hata Mungu pia kauumba ulimwengu kwa Namba pia hivyo hata Majina yetu yako katika namba na vifo viko na katika Mfumo wa namba hili fanyia kazi Mdau Jf litakusaidia sana.

Kumbe na hata hizi Simu na Mabomu tunayoyaona hii leo yalishawekwa katika vitabu vyetu vya kidini nasi tukatafsiri tofauti kwa maana ya kutulemaza tusitafute na kuujua Ukweli

Mwisho hawa viongozi wetu wa Dini kamwe hawatatuweka tuujue ukweli maana ndio itakuwa mwisho wao wa kula kwa urahisi Sana na usitegemee Etii Mchungaji au Shekhe ataenda kuulizwa kwanini alikula pesa za sadaka maana hata Mungu amesema toeni na msiulize zinakwenda wapii?!
 
Ulikuwa na mategemeo ya kueleza nn? Mana nahisi ujumbe unayotaka watu waupate na ujumbe uliotokea kulingana na maelezo yako ni vitu viwili tofauti
 
Unafanya promo ya biashara ya uganga! Hapa hupati mtu!
 
Ni kuambie ukweli tu kuwa huo ni uongo wa shetani na wengi wanaangamia kwa huo uongo, usindanganyike haki ya Mungu ipo kwa kila mtenda maovu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom