Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Faiza polepole bwn!!!!!!!!!!!!!Ya mama'ko ushaivuwa?
Faiza polepole bwn!!!!!!!!!!!!!Ya mama'ko ushaivuwa?
Tutamfuata hukohuko USA aje aeleze analolijua kuhusu DOWANS kimeo!!!!!!!!!!Kama JK ni mwanaJF na hasikii ushauri na maoni ya jamvini basi sikio la kufa halisikii dawa.Au akimaliza Urais anatarajia kwenda kuishi USA?
Mkuu the Boss hawa watoto wana shida kweli kweli, wako mbele zaidi kwa kila kitu!!!!!!!!!!!faizafoxy umri wake ni zaidi miaka 45
na wewe ulieanzisha mada uko chini ya 30
probably ana weza kukuza ,tena mtoto wa tatu labda....
sasa unaanzisha thread kuhusu nini na wewe unafanya nini???????
Hii ni topic nyingine tofauti na zingine hivyo unastahili kuheshimu mchango wake kwa leo, tulia usiwe na haraka!!!!!!!!!!!Boss! labda nimtake ladhi huyu dada FAIZAFOXY but the issue is "hata kama ni mtu mzima basi nina mashaka na Busara zake kwani kila mara" hujaribu kuingiza suala la udini katika michango yake" mimi simpendi mtu mdini, hebu fuatilia hoja zake
wewew sio Anna Makinda?
Taratibu jamani yamekuwa hayo tena, punguza mnkali dada yangu mpotezee!!!!!!!!!!Wewe kama unaweza jibu hoja zangu, hunijuwi sikujuwi, hijab yangu imekuhusu nini? Tena nnakuambia kama ni mwanamme kweli na sio khanithi niambie uko wapi nikufate kwa gharama zangu uje kunivuwa hii hijab na ukishindwa ujuwe ntakufanyizia wewe, kama humjui FF leo ndio utamjuwa na weka na mashahidi wako na useme kinaga ubaga uko wapi na mimi nakuja.
Wewe si pimbi tu nnaeweza kukutowa huku nakwenda mbio.
Heee kwani we ni handsome au mzuri?
We mama mie nishaapa kukuvua iyo hijabu yako kisha ukawaambie **watoe tamko