Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Labda ndo 'keshakosa'
Maandalizi ..
Mimi nazungumza talents kuliko uwezo unao onekana..

Unajua hata Vita Kawawa angepata maandalizi
Angefaa kuliko wengi?
Sio mlafi
Sio muoga.

Only hakuandaliwa..wild child
Kwanini hakujianda yeye mwenyewe kama mtu huru mwenye kujua baya na zuri
 
Mkuu The Big Boss!, thanks for this, very good analysis. JF ya siku hizi, we have been missing vitu kama hivi na kujaziwa makorokocho!. Thanks again.

It's not too late kwasababu pazia bado liko wazi kwa Mohammed Thabit Kombo na uamuzi wa mwisho ni Dodoma.
P
Tatizo nyie znz mmeigeuza koroni la Tanganyika mnawachagulia watawala
 
Inaonesha wakati wa mzee ruksa ulikuwa bado hujabalehe wewe. Wahenga watakubaliana nami kuwa Hussein Mwinyi ni better than mzee wake
Kivipi ndugu hebu tusaidie kuujua uongozi wake
 
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..

Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..

Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.

Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....

Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...

Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba

Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..

Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..

Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..

Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....

Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.

Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.

Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..
Mkuu samahani ila kwa Mahamoud Thabit Kombo na Ally Karume ni big 'NOOO'. Kwa kweli sijui unakusudia nini lakini labda pengine huwajuwi vizuri hawa watu!
KWa kweli hapana!
Unamlinganishaje Amani KArume na ALly karume, halafu chaguo liwe ni Ally Karume? Halafu unataka achaguliwe Mahmoud Thabit Kombo kuliko Hussain Mwinyi? Sidhani kama hawa waatu unawajuwa kweli. Mkuu hebu fanya angalau ka-research kidogo juu yao!
Ama kweli usilolijua ni usiku wa kiza!
 
Ila wewe ni boga la kiangazi sababu ......kanisa katoliki hapa limeingiaje kwa nini usiwe msikiti .............yaan watu dizaini kama bado wako hai ni tatizo kubwa.........
Tangu jiwe awepo umesikia nyaraka ngapi
 
Unajua kwanini hadi JK akamteua kuwa makamu wake!

Sijui kivile, kuna mdau kanielezea kidogo hapo juu.... lakini bado sikuona akifanya lolote kuprove kuwa alikuwa na uwezo.

Kuwa chaguo la Wazanzibari haitoshi, nao wana matamanio yao tu ambayo huenda wakawa na chaguo lisilofaa... kuna kipindi tuliaminishwa ‘chaguo’ lao ni Maalim!

Hebu nipe ufahamu.
 
Anafahamika kama 'wild child'.
Unajua hata ukiwa na mtoto akawa jambazi
Lakini akawa kiongozi wa majambazi
Ujue mwanao ana 'leadership quality'
Ila ilikosa 'maandalizi'..

Anaweza kuwa ni 'natural leader' Ila
Kapotea kwenye 'malezi'
Ndio my point
Sasa kama kapotea katika Malezi sie/siye wanini
 
Huseni Mwinyi atapewa nafasi kwa sababu viongozi wa juu watakuwa salama zaidi chini ya uongozi wake ila akiwa kiongozi atajitahidi kulipa fadhila kwa waliomchagua
 
Gen
General Nassoro
Huyo ninamwini sana, ni kiongozi mzuri sana, msikilazaji mzuri sana na pia decisive kweli kweli; namfahamu tangu akiwa Luteni Kanali.

1592464114421.png
 
Una hoja nzuri lakini kama Taifa tunapaswa kuandaa Viongozi kila kada ili tukidhi matakwa ya Wananchi. Naona Watoto wa Viongozi au walio nacho ndio wenye Uthubutu wa kugombea ila wasio nacho bado wanaendelea kujitenga na hilo ni jambo baya linajenga tabaka ambalo halitakuwa rahisi kuliondoa na kwa jicho la Mwewe naona Zanzibar itakuja kuwa Nchi ya Kisultani na kurithitishana Madaraka!
 
Back
Top Bottom