Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Mkuu unamjua miraji Kikwete wewe [emoji1][emoji1][emoji1], muwage mnauliza
Anafahamika kama 'wild child'.
Unajua hata ukiwa na mtoto akawa jambazi
Lakini akawa kiongozi wa majambazi
Ujue mwanao ana 'leadership quality'
Ila ilikosa 'maandalizi'..

Anaweza kuwa ni 'natural leader' Ila
Kapotea kwenye 'malezi'
Ndio my point
 
Hao wote ni mapandikizi ya Tanganyika we will vote them out.Ingawa watalazimishwa Dodoma.
CCM zanzibar kueni Makini
 
Hivi Mwinyi alikuwa natural leader?

hivi lazima kila kiongozi awe na character ya uongozi?

how would we know kuwa huyu ndio anapaswa kuwa kiongozi?
.
Umeuliza swali zuri sana
Mwinyi alikuwa weak lakini clean.
Na 'anasikiliza maoni ya anaowaongoza'
Anavumiliwa kukosolewa n.k.

The fact alikuwa President obviously atakuwa
Ame wa insipire watoto wake kutamani kuwa kama baba yao..sasa katika hiyo race ya watoto
Kuja kuwa kama baba yao ..hapo ndo wengine
Their 'talents zinaonekana'.na wengine their
'weaknesses' pia zitaonekana
 
Hivi unamjua vizuri Ali Karume compared na Aman Karume au umeandika tu kujaza maandishi
Sema hapa unaemjua vizuri..
Angalau sio mtiifu na mfata maagizo
Ataweza fanya maamuzi akitakiwa kufanya maamuzi
 
Mahmoud tatizo lake kubwa ni ufisadi mpenda mali na mademu.
Hajatulia kabisa he is fake
Kama Mahmoud ni fisadi, je unazijua biashara za Hussein Mwinyi anazofanya na wahindi yakiwemo majumba ya kupangisha?

Bara hawataki strong leader Zanzibar ná ndio maana walimchagua Amani Karume badala ya msomi mahili Dr. Bilali ambaye ndio alikuwa chaguo la wazenj!!
Safari hii wakiwachezea tena waambieni mnarudi visiwani na Afro Shiraz yenu!! Muwaache na TANU yao!!
 
Binadamu huwa hatuwapendi watu halisi bali wanafiki. Ukiwa mpole watu watakuchukulia kuwa ndio mwenye nidhamu, kumbe Upole inaweza kuwa ni kiburi na dharau. Daima ukiwa natural huonekani labda tu nature ikuchague. Ila nakubaliana na wewe kuwa first born hubebwa sana jambo ambalo huwafanya kuwa the best.
Ila kumbuka kuwa wapole hupata nafasi kwakuwa huwa ndio njia ya wapigaji kwani huko hawapati usumbufu dhidi ya maamuzi yao ya kiimla.
 
Rais wa Zanzibar kwanza kabisa anatakiwa ajue kwamba amewekwa pale kwa nguvu ya Tanganyika na cheo chake kinashikiliwa na Tanganyika. Lazima afuate maelekezo ya bara, utii na nidhamu muhimu.

Wakiona mtu anajitambua ni ngumu sana kumpatia urais Zanzibar, anaweza kubadili upepo wa kisiasa mambo yakabadilika sana.
Hata katika jamii, wanaojitambua hawapendwi
 
Kama hoja yako ni ulinganifu kati ya Hassan na Hussein tafadhali jikite hapo, utupe sifa zao na tofauti zao... strength and weakness.

Ila unavyoanza kuokoteza na watoto wengine kwa vile tu ni wa viongozi, unaleta utani!

Katika hao wa JK wote hamna kitu pale, hadi wa JK Nchonga hakuna kitu... hata hao wa Karume na wengine waliopata nafasi hakuna kitu cha ajabu/ziada.

Wanapata nafasi kwa urahisi kupitia historia ya familia zao, lakini wanachofanya ‘kama viongozi’ ni kile kile tu ambacho hata mimi/wewe unaweza kufanya!

Sasa hizo kuandaliwa au ‘kurithi’ kunawapa uspesheli gani.?

Kiongozi bora ni yule mwenye sifa za uongozi, na ameonesha uwezo huo... bila kujali alizaliwa wapi na nani!

Ncha Kali.
 
Niliemuona Mimi alikuwa Hassan.
Ama nimekosea jina au yupo Hassan..
Alikuwa a bit younger..but siku nyingi

Huyo unaemsema ni lawyer na ndio gate keeper wa biashara za Mwinyi clan! What they are trying to do here is copy the Kenyatta model of wealth accumulation where the elder brother Uhuru is presda and the younger brother Muhoho takes care of the loot!! They want to replicate the Kenyatta model in Tanzania!!
 
Bara hawataki strong leader Zanzibar ná ndio maana walimchagua Amani Karume badala ya msomi mahili Dr. Bilali ambaye ndio alikuwa chaguo la wazenj!!
Safari hii wakiwachezea tena waambieni mnarudi visiwani na Afro Shiraz yenu!! Muwaache na TANU yao!!

Bwashee acha ucheshi, Dr Bilali huyu huyu Makamu wa JK.?
 
Mmm Huyu ndio Rais wa Zanzibar duu naona atafit tu nilitegemea na Mama Samia akachukue form but it seems kuwa Rais wa Zanzibar ni demotion ila una full nchi.Husein alitabiriwa siku nyingi
Huwezi peleka mwanamke awe rais kwenye nchi ambayo zaidi ya 95% ya watu wake ni muslim.mila na desturi lazima zizingatiwe.
 
Bwashee acha ucheshi, Dr Bilali huyu huyu Makamu wa JK.?

Huyo huyo ndio alikuwa mwiba , wabara hawakumtaka kabisa awe Rais wa Zanzibar na kule Dodoma baada ya kuona chaguo lao kakataliwa wazenj walitaka kurudi visiwani na ASP yao!! Kuona hivyo ndio wakaja na solution ya Bilal kuja kuwa makamu wa Kikwete; hakuwa preference ya mkwere ambae alitaka vp wake angekuwa( Zakia Meghji)!! Historia ndio hiyo.
 
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..

Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..

Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.

Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....

Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...

Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba

Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..

Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..

Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..

Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....

Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.

Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.

Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..

Kuongea tu? Au na aspects zingine?
 
Halafu naona kama huyu jamaa amebebwa kweli na wala sijawahi ona jambo linaloashiria kuwa ni mchapa kazi kuliko wengine wote kiasi cha kudumu katika uwaziri kwa miaka yote 25 iliyopita. Sijawahi kumsikia akiongea na watu anaowaongoza labda kama huwa anafanya hivyo kichini chini tu- jambo pekee linalokuja haraka kichwani mwangu ni pale alipokuwa mbele kufukuza madakari Muhimbili badala ya kuongea nao na kuwatuliza; kiukweli hata sijui sauti yake. Tangu amalize shule hakuwahi kufanya hospitali yoyote; yaani alitoka shuleni tu, Mkapa akambeba kuwa naibu waziri - sielewe kama ilikuwa ni kumfurahisha mzee mwinyi ambaye alikuwa karithiwa na Mkapa, na kuanzia hapo hajawahi kutoka kwenye uwaziri.

Kwa Zanzibar, mimi nilikuwa namwona Major General Issa Suleiman Nassor angefaa sana; ni kiongozi mzuri sana ukichukulia jinsi alivyokuwa anaongoza kamandi zake jeshini, na vile vile amweahi kufanya kwenye balozi zetu za India na Misri; sijui sasa hivi yuko wapi.
Huyo ndo Rais ajaye wa Zanzibar mkuu
 
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..

Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..

Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.

Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....

Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...

Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba

Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..

Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..

Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..

Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....

Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.

Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.

Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..
Yaani KUMSIKIA MTU AKIONGEA vs mtu ambaye uadilifu wake umeshapimwa kwa kupewa madaraka kwa miaka kadhaa na asitende haya marushwa rushwa na utovu mwingine wa nidhamu kweli?
 
Back
Top Bottom