Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Nitaishangaa sana CCM na nitawashangaa zaidi Wazanzibari ninaowaheshimu mno kama wakimpa Urais Mtu Dhaifu Dkt. Hussein Mwinyi. Hatoshi!!
 
Kama hoja yako ni ulinganifu kati ya Hassan na Hussein tafadhali jikite hapo, utupe sifa zao na tofauti zao... strength and weakness.

Ila unavyoanza kuokoteza na watoto wengine kwa vile tu ni wa viongozi, unaleta utani!

Katika hao wa JK wote hamna kitu pale, hadi wa JK Nchonga hakuna kitu... hata hao wa Karume na wengine waliopata nafasi hakuna kitu cha ajabu/ziada.

Wanapata nafasi kwa urahisi kupitia historia ya familia zao, lakini wanachofanya ‘kama viongozi’ ni kile kile tu ambacho hata mimi/wewe unaweza kufanya!

Sasa hizo kuandaliwa au ‘kurithi’ kunawapa uspesheli gani.?

Kiongozi bora ni yule mwenye sifa za uongozi, na ameonesha uwezo huo... bila kujali alizaliwa wapi na nani!

Ncha Kali.
Shukran sana Kwa your input
Actually nakubaliana na wewe sana majority
Hawana uwezo wanabebwa..
Ila katika hao watoto kuna exceptions...
Na katika hao watoto kuna ambao overlooked sababu sio first born..
Point hapa hata kama wanawabeba watoto wao watazame ambao ni better katika hao watoto kwenye leadership ..itakua nafuu kuliko kubeba ambae ni weak simply sababu ni mtiifu na anapokea maagizo
 
Yaani KUMSIKIA MTU AKIONGEA vs mtu ambaye uadilifu wake umeshapimwa kwa kupewa madaraka kwa miaka kadhaa na asitende haya marushwa rushwa na utovu mwingine wa nidhamu kweli?


Hata Obama alitazamwa na kupimwa mwanzo Kwa kuongea tu..alitoa speech moja Tu watu wakaanza sema anafaa kuwa rais hadi ikawa
 
Labda ndo 'keshakosa'
Maandalizi ..
Mimi nazungumza talents kuliko uwezo unao onekana..

Unajua hata Vita Kawawa angepata maandalizi
Angefaa kuliko wengi?
Sio mlafi
Sio muoga.

Only hakuandaliwa..wild child

Vita alipewa nafasi Mara kadhaa.

Namkumbuka Vita very humble guy!
 
Vita alipewa nafasi Mara kadhaa.

Namkumbuka Vita very humble guy!
Alikuwa na.limited education na limited exposure lakini humble na clean..
Na alikosa maqndalizi sahihi the way I see it..
 
George W. bush ana mapacha wawili Barbara na Jenna,bali George H. W. Bush ndio ana George W. Bush, Jeb Bush na wengineo.
Watu wengi wanachanganya sana Baba na Mtoto, Geroge Herbert Walker Bush na George Walker Bush.
 
Watu wengi wanachanganya sana Baba na Mtoto, Geroge Herbert Walker Bush na George Walker Bush.
Mimi sikuchanganya nilikuwa very clear
Niliposema George na Jeb..
Wanaowajua wanajua wazazi wanao ni George H.W Bush na mkewe Barbara
 
Kumbe kuongoza ni kujua kuongea?
Sijui ulimwuliza swali hili, ila ni kweli kuwa kongozi wa kisisasa ni lazima aweze kujieleza kwa wananchi anaowaongoza; ni tofauti sana na kiongozi wa Shirika au kampuni ingawa hata wao wanahitajiwa kuwa na public speaking na communication skills nzuri.
 
Wild Child..anafahamika.
Akiwa mature atakuwa better kuliko Ridhiwan.
Wild pia manake anajiamini ..anaweza fanya maamuzi ..
Wild Children wengi wamekuja kuwa better Leaders kuliko hawa Decent and loyal
Kwa hiyo mpaka sasa haja mature ???
Ana miaka mingapi?
Na nini kinakufanya uwe na imani hiyo ?
 
Si bado anakuwa?
Usim judge Kwa tabia za kitoto
Confidence
Uwezo wa maamuzi.
Uwezo wa kushawishi
Hizo ni hidden talents
Once polished atafaa zaidi kuliko mtoto anaefata Tu maagizo ya baba
What about yourself ukiwa polished etc
 
Back
Top Bottom