Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Hassan Mwinyi ana kipaji kuliko Hussein

Uchambuzi wako ni mzuri lakini haujazingatia mazingira ya kisiasa ya zanzibar,Rais wa zanzibar siku zote anatakiwa kuwa mtu wa ndio mzee mtiifu kwa Tanganyika.

Ukiwaweka hao wild ambao mara nyingi wapo unpredictable utavunja muungano baada ya muda,kwa imani ya uongozi wa CCM jamii ya akina mwinyi huko zanzibar ndio wanaofaa.

Hii ni kweli zaidi hasa kwa wanaofuatilia historia ya urais wa Zanzibar !! Marais wake wamekuwa more passive mbele ya JMT kiasi unaweza "bet" kuwa upole imekuwa ni principle qualification ya kuwa Rais huko.
 
Utiifu na kupokea maagizo
 
Hii ni kweli zaidi hasa kwa wanaofuatilia historia ya urais wa Zanzibar !! Marais wake wamekuwa more passive mbele ya JMT kiasi unaweza "bet" kuwa upole imekuwa ni principle qualification ya kuwa Rais huko.
Sio upole

Nafikiri ni uoga.
 
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..

Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..

Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.

Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....

Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...

Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba

Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..

Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..

Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..

Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....

Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.

Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.

Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..
Inaonesha wakati wa mzee ruksa ulikuwa bado hujabalehe wewe. Wahenga watakubaliana nami kuwa Hussein Mwinyi ni better than mzee wake
 
Mbarawa he is the best,yule ni material leader kabisaaaa si hawa wameandaliwa muuuda lakini hamna kitu,prof mbarawa kwa muda mfupi tu watu washamuona ana kitu kikubwa sana
 
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..

Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..

Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.

Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....

Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...

Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba

Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..

Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..

Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..

Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....

Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.

Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.

Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..
MATAGA msilete utawala wa kisultani, wapo watu wengi wenye uwezo wa kuongoza, hamjazichoka tu hizo familia ?
 
Kutoka CCM hakuna hata mmoja anayefaa wote ni vibaraka tu wanaowekwa na Tanganyika na Kanisa Katoliki , hakuna jipya zaidi ya kuifisidi nchi
[emoji23] sasa kanisa katoliki linahusikaje hapo
 
Kutoka CCM hakuna hata mmoja anayefaa wote ni vibaraka tu wanaowekwa na Tanganyika na Kanisa Katoliki , hakuna jipya zaidi ya kuifisidi nchi
Acha kuliingiza kanisa kwenye siasa za chama chakavu.
 
Uchambuzi wako ni mzuri lakini haujazingatia mazingira ya kisiasa ya zanzibar,Rais wa zanzibar siku zote anatakiwa kuwa mtu wa ndio mzee mtiifu kwa Tanganyika.

Ukiwaweka hao wild ambao mara nyingi wapo unpredictable utavunja muungano baada ya muda,kwa imani ya uongozi wa CCM jamii ya akina mwinyi huko zanzibar ndio wanaofaa.

Nafikiri pia kuwa wasio wa Unguja kindakindaki ndio watamu kwao
 
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..

Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..

Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.

Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....

Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...

Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba

Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..

Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..

Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..

Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....

Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.

Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.

Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..
Hivi unamjua vizuri Ali Karume compared na Aman Karume au umeandika tu kujaza maandishi
 
Back
Top Bottom