Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
Acha udini
Sio mimi mwenye udini. Mwenye udini ni CCM na kanisa Katoliki waliounda Bakwata
Acha udini
Acha kuliingiza kanisa kwenye siasa za chama chakavu.
Waambie waweke Tume huru na mgombea binafsi aruhusiwe. Wasijitungie sheria na katiba kwa maslahi yao na kanisa KatolikiNenda ukagombee wewe
Ndilo linalotawala Tz ukitaka ushahidi nitakuwekea[emoji23] sasa kanisa katoliki linahusikaje hapo
Nasikia system imempendekeza yeye ili kuepusha mpasuko wa CCM ZanzibarHuyo ninamwini sana, ni kiongozi mzuri sana, msikilazaji mzuri sana na pia decisive kweli kweli; namfahamu tangu akiwa Luteni Kanali.
View attachment 1482166
Hakuna, wote wamejazwa corona kwenye ubongo. Wanaogopana kama wachawiNani anatofauti huko ccm
Ya Chat in Bilal hakuwa chaguo is ZNZ bali alikuwa ni chaguo la Salimin Amour , baada ya Salimin kutaka kuongeza muhula, Lakini dola ikamzuia na kumuona Gharib aliyekuwa waziri Kiongozi ndio wale wale.Kama Mahmoud ni fisadi, je unazijua biashara za Hussein Mwinyi anazofanya na wahindi yakiwemo majumba ya kupangisha?
Bara hawataki strong leader Zanzibar ná ndio maana walimchagua Amani Karume badala ya msomi mahili Dr. Bilali ambaye ndio alikuwa chaguo la wazenj!!
Safari hii wakiwachezea tena waambieni mnarudi visiwani na Afro Shiraz yenu!! Muwaache na TANU yao!!
Nasikia system imempendekeza yeye ili kuepusha mpasuko wa CCM Zanzibar.
Kama Mahmoud ni fisadi, je unazijua biashara za Hussein Mwinyi anazofanya na wahindi yakiwemo majumba ya kupangisha?
Bara hawataki strong leader Zanzibar ná ndio maana walimchagua Amani Karume badala ya msomi mahili Dr. Bilali ambaye ndio alikuwa chaguo la wazenj!!
Safari hii wakiwachezea tena waambieni mnarudi visiwani na Afro Shiraz yenu!! Muwaache na TANU yao!!
1.Haja slim??Huyu Hussein mke wake mkatoliki
Kwamba kanisa katoliki waliunda bakwata?Sio mimi mwenye udini. Mwenye udini ni CCM na kanisa Katoliki waliounda Bakwata
Kwamba kanisa katoliki waliunda bakwata?
Ww kwa baba umerithi nn au umerithi kuchunguza maisha ya watuNimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..
Watoto mara nyingi Wana kawaida ya kupenda kurithi kazi za Baba zao..ingawa sio wote wanaweza..na mara nyingi watoto hupata wepesi wa kufika Kwa msaada wa Baba au marafiki wa baba..ingawa mara nyingi huwa na uwezo duni kulinganisha na Baba zao..
Ila katika hao watoto mara zote sio wote hurithi uwezo au vipaji vya baba zao..
Mara nyingi ni mtoto mmoja ndo anakuwa.
Amerithi kitu au vitu kutoka Kwa baba yake...wote wanaweza fanana Sura na Baba
Lakini mmoja akarithi 'natural leader'
Mwingine akarithi ucheshi ..
Nadra Sana kurithi kila kitu ....
Sasa katika watoto wa Mwinyi nimewahi msikia Hassan Mwinyi akiongea wakati anagombea ubunge Afrika mashariki..
Nikasema 'huyu ana kitu'..
Nimemsikia sana Hussein Mwinyi akiongea
Mara Kwa mara sijawahi 'feel 'kiongozi anaongea...
Mtoto mwingine wa Viongozi hasa Zanzibar akiongea unajua huyu ni 'kiongozi'..ni Mohamed Thabit Kombo...vipaji vya wazi
Ambavyo vingetazamwa na kundelezwa wangekuwa 'viongozi wazuri ' zaidi...
Hussein sifa ya utiifu ndo inambeba
Na utiifu sio sifa kubwa saana ya Uongozi..
Watoto ambao wanakuwaga 'wild'mara nyingi huja kuwa Viongozi wazuri zaidi Kwa sababu angalau wataweza 'decision making'..kuliko watiifu ..ambao ni rahisi kushindwa kuamua au kutii bila kuuliza..
Watu wengi huwapa huwapa special treatment 'first born 'na kipaumbele ingawa huja kugundua very late walikosea.
Mwenye kipaji ni second born au third born..wakiwa washafanya kosa..
Wazazi wa George W Bush walijua Kwa uhakika second born Jeb Bush angeweza kuja kuwa better Leader zaidi ya first born George..wakiwa tayari washachelewa..
Hata Zanzibar Ally Karume ni more 'natural leader ' kuliko Amani lakini ..washachelewa....
Na hata familia ya Kikwete ..Miraji anaonekana more natural leader kuliko Ridhiwan lakini Ridhiwan atapewa kipaumbele..the list is long.
Atakapokuwa Rais.. Hussein nna uhakika atalaumiwa Sana Kwa 'indecision' kuliko Kwa decisions...na maswali kama ni kiongozi mwenye mamlaka au anapokea maagizo yatajitokeza.
Hassana Mwinyi au Mohamed Thabit Kombo wangefaa zaidi but ..too late..
Sheikh KipozeoMwislamu gani aliichagua au aliunda bakwata?
😜 😜 😜 😜 😜 😜 😜 😜 😜 Huyu aliyemwambia Magu I love you?Sheikh Kipozeo
Atakuja kutawala na bongo piaNitaishangaa sana CCM na nitawashangaa zaidi Wazanzibari ninaowaheshimu mno kama wakimpa Urais Mtu Dhaifu Dkt. Hussein Mwinyi. Hatoshi!!
Nyie ndio mnajua kuwa kiongozi ni kupiga kelele kama lisu uongozi ni busara iwezo wa Hussein umeonekana kusimamia jeshi
Lissu alikupaga nini kitamu hivyo hadi umeshindwa kumsahau hadi leoNyie ndio mnajua kuwa kiongozi ni kupiga kelele kama lisu uongozi ni busara iwezo wa Hussein umeonekana kusimamia jeshi
Nimeona leo Hussein Mwinyi kachukua form huku tetesi zikisema ndo chaguo la chama kurithi Urais Zanzibar..