Hasira kwa mtoto, huku baba tunamuogopa....

Hasira kwa mtoto, huku baba tunamuogopa....

Mikakati ielekezwe kwa baba vinginevyo tutakuwa tucheza tu
 
Bunge lina nguvu labda hata zaidi ya udhaniavyo. Tusubiri tuone April kitakachotokea.

Suala la JPM kusema kuwa wabunge wa CCM wanataka kumng'oa PM linanipa ukakasi sana. Hivi kwa akili ya kawaida, ni nani mwenye ugomvi na Kasimu, nani anachukizwa na Kasimu. Yani wamng'oe Kasimu kwa lipi. Kuna mtu anaficha identity yake chini ya mwamvuli wa jina la Kasimu.

Lkn sidhani kama baba anaogopwa, kuna kislogan kinapenya sahivi kuwa "IMPEACH HIM".

Bunge lijalo litatupa jibu mkuu.

Sio busara kujaribu kum impeach sasa...sababu sioni kama inawezekana
impeaching process ni siku 150 ..ambazo Rais anaweza ku interrupt na kuvunja bunge...
Dawa ni kubadili katiba vipengele tu kumpunguzia nguvu
 
Methali ina ujumbe mkubwa mno....

Ila tusiishie hapa tuendembele zaidi kwa kumwita mtoto wa nyoka ni nyoka, kwa kuwa hakuna sehemu yotote kwenye tafiti mzazi wa nyoka mdogo aweza kukana asili yake! Ila let him do it, mchuma janga mara zote hula na wa kwao!
IMG-20170322-WA0000.jpg
 
Mbona kama ukweli uko wazi kabisa...kila anachofanya mtoto kina baraka za baba yake..
Na pengine baba ndo anamtuma mtoto afanye anayoyafanya

Sasa mbona hasira ni nyingi sana kwa mtoto huku baba hatutaki kabisa kumuudhi?

wengine wanasema tunampenda na kumuombea 'baba mtu' huku wakizidi kumponda mtoto

huu unafiki unatusaidia nini?

Kwanini kama tunaona hatumuwezi baba mtu basi na mtoto tusimguse?
au haki na ukweli inatazama cheo?
Mkuu baba mbavu nene ( baunsa) kushindana nae hatuwezi, sasa tunachofanya ni kumtandika dogo mangumi, mateke na makofi lazima apige kelele za uchungu ndipo hapo baba akili itamkaa sawa na kuchukua hatua.
 
Mtoto ukiona anakutukana na baba yake hasemi kitu basi katumwa

Sasa ukijifanya eti 'namuombea na nampenda baba yake' huku huyo mtoto unamlaani una matatizo
Hilo la kutumwa na baba halina shaka hata punje na ndio maana kwangu siwezi kuthubutu kusema nampenda baba wakati nafahamu ufedhuli wa mtoto unatokana na baba!!! Hata suala la mtoto huyu mtukutu kuwakwepa wazee wa kijiji waliotaka kumuohoji mawili matatu nina uhakika ni baba ake ndie alimwambia usiende!!
 
Kwa jinsi anavoongea na kutenda toka aingie madarakani naona magufuli hana akili kabisa. Pengine ingefaa awe monitor wa darasa la pili C.....
 
Eti ninasikia mtoto akienda kwa baba wanajifungia wawili tu mpaka saa saba usiku, haya maongezi ya faragha ya baba na mtoto mbona yanatisha?
 
Sio busara kujaribu kum impeach sasa...sababu sioni kama inawezekana
impeaching process ni siku 150 ..ambazo Rais anaweza ku interrupt na kuvunja bunge...
Dawa ni kubadili katiba vipengele tu kumpunguzia nguvu
Nahisi kubadili vipengele vya katiba ndio itachukua muda mrefu hata zaidi ya siku 150. Na niliwahi kusikia/kusoma kwamba ili sheria ibadilishe ni lazima rais apitishe wino, kitu ambacho hakuna rais atakayekubali kunyang'anywa bunduki ikiwa yy ndio kakamatia 'trigger'.

Akiingilia zoezi la kuwa impeached maana yake atavunja bunge kusha turudi majukwaani. Hapo sijui kama itakua rahisi kuchomoka.
 
Hilo la kutumwa na baba halina shaka hata punje na ndio maana kwangu siwezi kuthubutu kusema nampenda baba wakati nafahamu ufedhuli wa mtoto unatokana na baba!!! Hata suala la mtoto huyu mtukutu kuwakwepa wazee wa kijiji waliotaka kumuohoji mawili matatu nina uhakika ni baba ake ndie alimwambia usiende!!

Na wanafanya kazi ya kuwadhibiti inakuwa ngumu
wanawaaaminisha watu baba hahusiki na kiburi cha mtoto...
kumbe wananchi wangeongeza shinikizo kwa baba ili mtoto awe na adabu
 
Mkuu baba mbavu nene ( baunsa) kushindana nae hatuwezi, sasa tunachofanya ni kumtandika dogo mangumi, mateke na makofi lazima apige kelele za uchungu ndipo hapo baba akili itamkaa sawa na kuchukua hatua.

Mtoto akiona baba anafokewa ndo anaweza kutia adabu
sio eti 'tunampenda na kumuombea baba yake'
 
Nahisi kubadili vipengele vya katiba ndio itachukua muda mrefu hata zaidi ya siku 150. Na niliwahi kusikia/kusoma kwamba ili sheria ibadilishe ni lazima rais apitishe wino, kitu ambacho hakuna rais atakayekubali kunyang'anywa bunduki ikiwa yy ndio kakamatia 'trigger'.

Akiingilia zoezi la kuwa impeached maana yake atavunja bunge kusha turudi majukwaani. Hapo sijui kama itakua rahisi kuchomoka.

Sijui kama tunao wabunge wenye ujasiri huo...tusubiri tuone
 
Eti ninasikia mtoto akienda kwa baba wanajifungia wawili tu mpaka saa saba usiku, haya maongezi ya faragha ya baba na mtoto mbona yanatisha?
ukaribu huo ndo ushangae kusikia mtu anasema 'nampenda na kumuombea baba yake'
 
Back
Top Bottom