Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Ukweli ulio dhahiri, inawezekana baba ndio kamharibu mtoto zaidi ya mtoto alivyojiharibu mwenyewe.Mkuu huu unafiki ndo unakera kupita maelezo
inafanya kazi ya kuwaunga mkono iwe ngumu..
Wa kulaumu zaidi ni baba, kwa maana alikuwa na nafasi ya kumkanya pale anapokosea...
Lakini baba huyu anafurahia pale mtoto anapoharibu...