Hasira kwa mtoto, huku baba tunamuogopa....

Mbona kama ukweli uko wazi kabisa...kila anachofanya mtoto kina baraka za baba yake..
Na pengine baba ndo anamtuma mtoto afanye anayoyafanya

Sasa mbona hasira ni nyingi sana kwa mtoto huku baba hatutaki kabisa kumuudhi?

wengine wanasema tunampenda na kumuombea 'baba mtu' huku wakizidi kumponda mtoto

huu unafiki unatusaidia nini?

Kwanini kama tunaona hatumuwezi baba mtu basi na mtoto tusimguse?
au haki na ukweli inatazama cheo?
Narudia kuandika tena kwa mara nyingine ccm imejaa watu wanafki sana, tumewaeleza kwa miaka mingi madhara ya kofia mbili ya Urais na Uenyekiti wa chama.

Kamati kuu ya ccm ndio ilipaswa kuwa watch dog namba moja kama watu majehuri kama wasingekabidhiwa chama.

JK angemaliza muda wake lets say mnamps Uenyekiti mtu mwingine makini ili chama kiwe na nguvu ya kumhoji na kumdhibiti asiwe juu ya Chama.

Mfano Lowasa ambaye ndiye tuliyemchaguwa Watanzania tuliowengi angetangazwa ndio mshindi angekuwa ni Rais lakini Mbowe ndio mwenyekiti wa chama na kamati kuu ingekuwa na uwezo wa kumnyoosha Lowasa, lakini tatizo la ndugu zetu wa chama la wana wao kila maamuzi huwa wanadhani wanawakomowa Watanzania fulani tu, ila all in all namfagilia bwana huyu kwa sababu namba tunasomeshwa wote kwa pamoja tena Mubashara kabisa.

Na kwa mtu kama mimi Matola ambaye sijawahi kunufaika na utawala wowote kwa awamu zote ukiacha tu ile awamu ya kwanza ambayo tulisoma bure na kutibiwa bure mimi hawa uchwara wengine hawana jipya kwangu.
 
Afadhali CCM si watu wa porojo

Jiulize TISS walikuwa wapi wakati mtu anamdunda mkewe hadi kumpa ndoo za mchanga ..
mtu kumbe alipokuwa chuoni aliwahi kuzidiwa na kupelekwa hospitali...
mtu huyo wanamuachia hadi anakabidhiwa 'dhamana' ya watu milioni 50
wao wapo tu wanakodoa...
 
Kama tunamuogpa bora wote tuwaache tu
huyu mtoto ni 'mtiifu' tu kwa baba yake
tunamuonea tukijifanya eti 'tunampenda na kumuombea baba yake huku yeye tunamponda
Kama kweli kuna watu bado wanamuombea Mungu awabariki zaidi, maana wengine baada ya kuona haya mafindofindo hata hamu ya kumuombea iliisha
 
Na wanafanya kazi ya kuwadhibiti inakuwa ngumu
wanawaaaminisha watu baba hahusiki na kiburi cha mtoto...
kumbe wananchi wangeongeza shinikizo kwa baba ili mtoto awe na adabu
Hapa ni kwamba, baba nae ni fedhuli; asiyefaa kwa jua wala mvua! Lakini ni wangapi wanaofahamu hilo?! Bado kuna maelefu kwa malaki wanaoamini baba ni malaika aliyeshushwa na bwana!!!!

Jambo jema ni kuendelea kulianika hili toto tukutu bila kujali baba ake atafanya nini!! Huyu mtoto ni mtukutu mwenye uovu kuanzia kichwani hadi nyayoni!!! Haya yakiendelea kuanikwa kila uchao; ndo dawa bora zaidi kuliko kuhangaika na baba!!!

Assumption ni kwamba; kwavile baba huyu nae ni jeuri na kiburi; bado ataendelea kukumbatia kila uovu wa mwanae utakaooneshwa!!! Na wakati mwingine sio kukumbatia; bali kile kiburi kitamfanya ajiambie "...hamuwezi kunishinikiza... mimi ndo alpha na omega!!"

Sasa basi; wale wale wanaoamini kwamba Baba huyu ni Malaika aliyeshushwa na Bwana; mmoja mmoja ataanza kufunguka macho na masikio na kushituka kwamba alah "...ina maana na hili Bwana Malaika wetu analifumbia macho!"

Kwahiyo, kama nilivyosema; binafsi namuomba Mungu tu amfanye Baba aendelee kujitia upofu kwa kumlinda kijana wake mtukutu ili aendelee kuoga vinyesi vinatokana na mwanae!!!

Mungu yu mwema; akikunyima macho ya kuona na masikio ya kusikia; basi hawezi kukunyima na pua ya kukuwezesha kunusa!!! Hizi pua ni muhimu kwa wale wanaodhani baba ni malaika kwa sababu tu wana macho lakini hawaoni na wana masikio hawasikii!!!
 
Afadhali CCM si watu wa porojo

Jiulize TISS walikuwa wapi wakati mtu anamdunda mkewe hadi kumpa ndoo za mchanga ..
mtu kumbe alipokuwa chuoni aliwahi kuzidiwa na kupelekwa hospitali...

mtu huyo wanamuachia hadi anakabidhiwa 'dhamana' ya watu milioni 50
wao wapo tu wanakodoa...
Mange Kimambi EFFECTS. Kwa namna anavyoaminika sijui kwanini asije bongo akaanzisha KANISA - Akatengeneza MAPESA
 
Hapa ni kwamba, baba nae ni fedhuli; asiyefaa kwa jua wala mvua! Lakini ni wangapi wanaofahamu hilo?! Bado kuna maelefu kwa malaki wanaoamini baba ni malaika aliyeshushwa na bwana!!!!

Jambo jema ni kuendelea kulianika hili toto tukutu bila kujali baba ake atafanya nini!! Huyu mtoto ni mtukutu mwenye uovu kuanzia kichwani hadi nyayoni!!! Haya yakiendelea kuanikwa kila uchao; ndo dawa bora zaidi kuliko kuhangaika na baba!!!

Assumption ni kwamba; kwavile baba huyu nae ni jeuri na kiburi; bado ataendelea kukumbatia kila uovu wa mwanae utakaooneshwa!!! Na wakati mwingine sio kukumbatia; bali kile kiburi kitamfanya ajiambie "...hamuwezi kunishinikiza... mimi ndo alpha na omega!!"

Sasa basi; wale wale wanaoamini kwamba Baba huyu ni Malaika aliyeshushwa na Bwana; mmoja mmoja ataanza kufunguka macho na masikio na kushituka kwamba alah "...ina maana na hili Bwana Malaika wetu analifumbia macho!"

Kwahiyo, kama nilivyosema; binafsi namuomba Mungu tu amfanye Baba aendelee kujitia upofu kwa kumlinda kijana wake mtukutu ili aendelee kuoga vinyesi vinatokana na mwanae!!!

Mungu yu mwema; akikunyima macho ya kuona na masikio ya kusikia; basi hawezi kukunyima na pua ya kukuwezesha kunusa!!! Hizi pua ni muhimu kwa wale wanaodhani baba ni malaika kwa sababu tu wana macho lakini hawaoni na wana masikio hawasikii!!!

Nature ya huyu mtu ni kuwaruka watu wakija kuchemsha
siku moja atakuja mruka mtoto
 
Baada ya hotuba ile tulipaswa kumuacha mtoto
na ku deal na baba tu
Uko sahihi mkuu. Kama tungekuwa na idadi kubwa ya wawakilishi walioshinda uchaguzi kihalali suala la Kudeal na baba yake lingekuwa jepesi sana. Lakini kwa kuwa wengi wao walishinda bila kukubalika wataogopa kurudishwa kwenye uchaguzi. Wengine hata pesa walizotumia kwenye uchaguzi hazijarudi. Hapo ndipo tabu inapoanzia.
 
Kama wanampenda na kumuombea baba mtoto na baba mtoto keshasema mtoto hana anachokosea basi bora wanyamaze
Mkuu The Boss, tatizo ni kuwa huyo baba uwezo wake wa kuelewa ni mdogo tuu au ana matatizo.
Tulipokuwa wadogo ukikaa karibu na Mzee mwenye matatizo ya tumbo basi kila akijamba cha moto utakipata wewe, maana utatukanwa kuwa we mjinga si ukajambie huko! Lakini kila mtu anajua tusi hilo ni la huyo Mzee naye anajua kuwa anatukanwa.
Kama ana hekima ataondoka lakini kama ni zuzu ataona hawamsemi yeye na ata kaa tuu.
Katika hili baba hajui kuwa hakuna anayemuombea, na matusi kwa mtoto ni yake
 
Labda awe na hekima ya kuliona hili
 
wakatoliki wanasema mtoto wa mungu(yesu) ni mungu pia,wayahudi walimtembezea kichapo hatari,baba yake hawakumdunda sababu hawakumpata..

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀!
Baba yake aliwasambaratisha mpaka yakawakuta ya 'Masada' na 'NAZI Germany death camps'!
 
Mbona kama ukweli uko wazi kabisa...kila anachofanya mtoto kina baraka za baba yake..
Na pengine baba ndo anamtuma mtoto afanye anayoyafanya

Sasa mbona hasira ni nyingi sana kwa mtoto huku baba hatutaki kabisa kumuudhi?

wengine wanasema tunampenda na kumuombea 'baba mtu' huku wakizidi kumponda mtoto

huu unafiki unatusaidia nini?

Kwanini kama tunaona hatumuwezi baba mtu basi na mtoto tusimguse?
au haki na ukweli inatazama cheo?
Unafiki uliopitiliza...

Wote wanajua mtoto huyu anatumwa na analindwa na baba...

Lakini utasikia baba yetu ana nia njema lakini anaangushwa na mtoto wake...

Wakati wamemsikia baba akitamka hadharani "mwanangu fanya kazi" (niliyokutuma)

Wanaomsema vibaya mtoto huku wakimhusudu baba ni wanafiki waliovuka mipaka ya unafiki uliotukuka.
 
Mkuu huu unafiki ndo unakera kupita maelezo
inafanya kazi ya kuwaunga mkono iwe ngumu..
 
Back
Top Bottom