Hasira kwa mtoto, huku baba tunamuogopa....

Hasira kwa mtoto, huku baba tunamuogopa....

Hata baba tuna hasira nae sana... ni vile inawezekana hakuna namna ya kumtungua kwa sasa.

Hata Baba tunamchukia ,hasira zetu zimewakilishwa na Ney wa mitego aka Halcast wa Kichagga na Kinyakyusa
 
wakatoliki wanasema mtoto wa mungu(yesu) ni mungu pia,wayahudi walimtembezea kichapo hatari,baba yake hawakumdunda sababu hawakumpata..

Duh Boss akili zako naona unazijua mwenyewe.Wakristu tunaamini Yesu ni Mungu.Haijalishi Mkristu Mlokole au Mlutheri.
 
Duh Boss akili zako naona unazijua mwenyewe.Wakristu tunaamini Yesu ni Mungu.Haijalishi Mkristu Mlokole au Mlutheri.

Huyo sio mimi alieandika hivi tazama id
 
Huu mwezi mchanga kuna matukio yatajitokeza sitashangaa!!! Mpaka tatehe 8April timamu na hamnazo watakuwa wamejulikana
 
Back
Top Bottom