ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,095
- 84,988
Swali liwe ni mikopo imefanya kazi gani sio imepanda Kwa haraka wakati wote walioendelea Wana madeni ya kufa mtu.Limepanda kwa haraka sana.
Swali liwe ni mikopo imefanya kazi gani sio imepanda Kwa haraka wakati wote walioendelea Wana madeni ya kufa mtu.Limepanda kwa haraka sana.
Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu amekaa ofisini mwaka mzima, katengeneza hasara, lakini bado yupo ofisini, what are they doing in office? Kwa nini mwenye mamlaka asimalizane nao wakalime matikiti?
Ajabu sasa, mwenye mamlaka won't care, wataendelea kutumikia nafasi zao huku wakitengeneza hasara kila siku.
Nchi wanapeana vyeo kwa ujamaa na kufahamiana, usitegemee mtu kuwajibishwa kwa haki. Hii nchi inazidi kuzama kwenye tope.
Pamoja na hayo, tumeambiwa hili deni bado ni himilivu.
Nchi wanapeana vyeo kwa ujamaa na kufahamiana, usitegemee mtu kuwajibishwa kwa haki. Hii nchi inazidi kuzama kwenye tope.
Twende hivi hivi au wapewe Wazalendo 😆 😆
View: https://www.instagram.com/p/DHtMP7OtBmP/?igsh=N2F2bmthdzMyem52