Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 867
- 1,279
Tumshukuru na kumpongeza mama kwa kuwa deni la taifa bado ni himilivu.
Ni wapumbavu tu wanaodhani ,wanaweza kuuzuia upepo kwa netiLeo MaCCM yaliposikia Lissu yupo Tunduma yakapanga kuhujumu Mkutano. Yakazuia gari za matangazo, DED akazuia kutumika kwa viwanja vyote vya mjini. Yakazuia press ya Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Songea kuwakaribisha watu kwenye mkutano wa leo. Kwa kuwa kiwanja cha mkutano alichopewa Lissu ni nje ya mji, wananchi wengi walitegemea kwenda kwa bodaboda, lakini maCCM yakalipa boba zote ziondoke maeneo hayo. Lakini haikua tabu, wananchi wametembea kwa miguu na wamejaza uwanja. Sasa wamepata muhaho. Hawaamini macho yao. #NoReformsNoElection ✌️✌️View attachment 3285221
TTCL inapataje Loss???
Yani hii nch mungu tu atusaidie tujue kuipambania kwasababu chini ya ccm hakuna jipya tenaWakina Mwigulu wanawapa wachina tender bila kwa bei ya juu kwa 10% mnategemea nini
my friends ladies and gentlemen,Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah watabubujikwa machozi ya huzuni
🤣🤣🤣🤣Ccm oyee mitano Tena 🙌🏾
my friends ladies and gentlemen,
ukiskia deni la taifa ni himilivu na stahimilivu, maana yake mambo ni bam bam, mambo ni mazuri sana,
zaidi sana,
ukiona unapata hati safi kwa 99% ujue makusanyo yanakua kwa kasi zaidi na matumizi ya serikali ni mazuri mno.
changamoto, dosari na kasoro ndogo ndogo kwenye baadhi ya tasisi za umma ni muhimu zikachukuliwa kama fursa ya kufanya mabadiliko muhimu ya kisera na kimkakati, ili kuleta tija na ufanisi katika utoaji huduma wenye faida kwa mashirika hayo.
Ni muhimu zaidi kuzingatia haya ndrugo zango, 🐒
Mi nashauri waache kutosomea hii taarifa... Inaumiza sana wananchi .Wapi kwenye afadhali? Mbona kila mahali ni majanga?? Mwisho wa siku mwananchi ndio anabeba mzigo wote huu.
Halafu mazwazwa yako busy kusema tano tena. Shame.!
Credit: Maudhui ni Malisa G.JView attachment 3284924