Hasara juu ya hasara( hasara promax)

Hasara juu ya hasara( hasara promax)

Sijaskia wenzetu wa TANESCO,
Cha kushangaza TPA ndio walionekana eti wa hovyo na wakabinafsishwa,
Mama mitano tena hadi kieleweke.
 
Hapo sgr behewa zenyewe zinajaa kweli?
 
Halafu anakuja ajuza mmoja kwa wepesi kabisa anasema tutayashughulikia.

Hii nchi inatia huruma sana.
 
"Ama kweli CCM ni janga la kudumu"
aliongea mama ntilie kwa uchungu👿
 
Ubinafsi unalitafuna Taifa hili ,na huo mzigo wote wanatwishwa wa Tanganyika, Mungu atuondolee chawa wote pamoja na mabosi wao ,yaani waimba mapambio na waimbiwa mapambio ,Amina
Ni lini nyie Watanganyika kabla ya Samia mlikuwa mnakula Neema? Au ni baada ya kutimia CAG kisa kuwaumbua?

Twende hivi hivi
 
Lipeni kodi kwa maendeleo ya nchi na wao wakakope uarabuni kwa ajili ya future ya familia zao
 
Back
Top Bottom