my friends ladies and gentlemen,
ukiskia deni la taifa ni himilivu na stahimilivu, maana yake mambo ni bam bam, mambo ni mazuri sana,
zaidi sana,
ukiona unapata hati safi kwa 99% ujue makusanyo yanakua kwa kasi zaidi na matumizi ya serikali ni mazuri mno.
changamoto, dosari na kasoro ndogo ndogo kwenye baadhi ya tasisi za umma ni muhimu zikachukuliwa kama fursa ya kufanya mabadiliko muhimu ya kisera na kimkakati, ili kuleta tija na ufanisi katika utoaji huduma wenye faida kwa mashirika hayo.
Ni muhimu zaidi kuzingatia haya ndrugo zango, 🐒