Hasara juu ya hasara( hasara promax)

Hasara juu ya hasara( hasara promax)

Mashirika yenye kuleta hasara, suluhisho lake ni kubinafsishwa tu; wapewe sekta binafsi wazisimamie.
 
Mi nadhani Dunia hii huwezi kupata sehemu yoyote aina ya binadamu waliopo Tanzania, haiwezekani.

Ina binadamu wa ajabu, hata sokwe, nyani au ngedere wangekuwa na namna ya kufanya jambo binadamu wanaoendelea kusombwa kwenye malori na kuhongwa t-shirt na kofia.

Ni ajabu nchi ilipofikia kuona Kuna binadam wengine na PhD zao na maprofessa wanashangilia, ni maajabu.
 
Mashirika yalipe wafanyakazi wake na kujiendesha hii itasaidia sana watu kufanya kazi kuwa na bajeti zao na nidhamu ya pesa kisha kutoa gawio serikalini
 
Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu amekaa ofisini mwaka mzima, katengeneza hasara, lakini bado yupo ofisini, what are they doing in office? Kwa nini mwenye mamlaka asimalizane nao wakalime matikiti?

Ajabu sasa, mwenye mamlaka won't care, wataendelea kutumikia nafasi zao huku wakitengeneza hasara kila siku.
 
Umeongea pwenti sana!
 
Back
Top Bottom