Harusi yangu itakavyokuwa......!!

Njoo Mwanza kwenye 'Bukombe' uone, simpo sana, na hakuna kadi, na wanakuja kweli unaona wanakupenda.

Hizi harusi za michango unafki mtupu.

Ni vizuri kutoa namna ya kubadilisha namna ya kufanya harusi iwe ya simpo ili habari ya kuchangishana zipungue!
 
Mawifi wa kizaramo huwajui wewe, bila rusha roho hawamwelewi kaka yao... Na hiyo nyumba ungehama.

Ha ha ha ha! Naomba Mungu anipishilie mbali haya mambo ya ukorofi ukorofi! Rusha roho watakula tu kwa kiasi inayotakiwa!
 
Usije ukahangaika kununua vinywaji vya viwandani, andaa togwa, mbege, ulanzi nk

Kama wanywaji watakuwepo, hapo sawa lkn kama hawapo au wapo wachache itabidi ziwepo kwa uchache na viwandani viwepo kwa sana! Mradi mtu atoke kwenye sherehe ajisikie kama vile ametoka kwa ndugu yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom