Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,107
- 2,506
- Thread starter
- #41
Mie kama nitaalikwa basi nitaapia kama wale wacheza shoo wa saida kalori!
Ha ha ha ha!! Lkn utatakiwa ucheze miguu peku, utaweza kweli Kipipi ndugu yangu?
Mie kama nitaalikwa basi nitaapia kama wale wacheza shoo wa saida kalori!
ngedere wanaruhusiwa?
Ha ha ha ha!! Lkn utatakiwa ucheze miguu peku, utaweza kweli Kipipi ndugu yangu?
Usije ukahangaika kununua vinywaji vya viwandani, andaa togwa, mbege, ulanzi nk
Smart man!!!
Nishindwe nini ati na mie sikuzaliwa na viatu??