Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

Majaribu ya kitoto na wala usimuonee huyu dada , wewe ndiyo selfish wa kutupwa, kwa nini ukachkue hela kwake wakati una kiwanja cha millions kumi? Ungeuza million nane na kumuokoa mama yako ungepata Thawabu kwa mungu na mke mwema, Leo unajinyea mwanamke hujamuoa halafu unamshikia bunduki kichwani. Pumbavu weee toka hapa

umevurugwa wewe. ulitaka ununue kwa bei ya hasara kisa kauguza? thumup
 
hakufai aisee,achilia mbali pesa zake inawekana hana au takwimu ulizoona kwenye a/c yake imekudanganya,hilo la kutokuja kumwona mama mkwe ndo kaharibu kabisa.
 
Poleeee
ushauri wangu, airisha michakato yote ya ndoa. Upate muda wa kutosha kutafakari, ili ufanye maamuzi sahihi.

Kuna mambo ya kukosea lakini si kuchagua mwenza wa maisha. Be patient, na mshukuru Mungu kwa kukuonyesha hili mapema.
 
Huu Uzi siuelewi mwanzo alikuwa bobby' anaomba ushauri huu sasa ivi wise one sijawaelewa an.
 
sioni cha kujishauri hapo, vunja huo uchumba sio mwanamke anayefaa hapo,,,kama unaoneshwa unashindwa kuona usije juta,,,,,ndio hali imejiweka wazi...utu ni bora na wa thamani sio gari...akaolewe na gari aiseee....
 
Oa aliekusaidia huyo aliekunyima hela hakufai Na ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni
 
Nilikuwa nakukimbusha tu mkuu usisahau ile MAHARI YETU TULIYUOTOA maana hawa viumbe wamezidi kwa ubinafsi so ukipata ambaye ni m,alika kama huyo wa ndiye anayekufaa na umshukuru Mungu amekuonyesha mapema kuliko ungeenda kuyaonea huko ndani kama wengine wanavyoteseka then mchunguze vizuri ulimwacha utakuta hata anamegwa na wengine na wewe umekaa kama mume mtarajiwa hewa.
 
kusema ukweli, uamzi ni wako, ila ningekuwa mimi, na story hii uliyoitoa ni ya kweli, ningeshamwambia kitambo na ningevunja uchumba. huyo sio mtu na kuna siku utakuja kuugua wewe ndani yeye ana hela hatakupeleka hospital utakufa na hicho kiwanja ulichonunua atarithi yeye. hana maana huyo.
 
Bahati haiji mara mbili. Kimbia hapo Mungu kakuonesha trela ambayo iko kwenye movie kama utaamua kumuoa huyo mchumi.
 
Nikuunganishie na Jamaa yangu mmoja hivi, ni Debt Collector mzuri sana kwa kweli na hajawahi kuwaangusha clients wake.

Ile mahari tuliotoa kule si ya kuiacha aisee. Tukimpa kazi huyu Debt Collector tutaweza ku-recover from minimum of 80% assurance guaranteed Mkubwa wangu!
 
Back
Top Bottom