Katika wote humu Wewe ndio umeonyesha kuwa na mtazamo tofauti
Ila nimegundua kitu kimoja kama ulivyosema kuwa wewe hupendi kuumiza kichwa na mke wako ni mtu ambaye anapuuzia vitu, hii inatokana kuwa umesha gundua Mke wako ni wa aina gani ndio maana huwa hupendi kuangalia mambo kwenye mapana Hivyo huwa unatafuta sababu za kujifariji Caz huna jinsi nyingine maana ndio ameshakuwa mke tayari.
Napenda tu kusema kuwa maisha yako na ya mleta uzi ni tofauti sana. Wewe umeshaoa ndio maana inabidi uwe na mitazamo chanya hata kama mke wako kakosea kosa kubwa kiasi gani, Lkn mleta uzi yeye hajaoa bado na Huu ndio Wakati wa yeye kufanya maamuzi sahihi hata kama maandalizi yamesha anza.
Kifupi hakuna kitu kibaya kama mtu kutokuwa na utu, there is no justification for that, wewe umesema mke wako huwa hamjulii hali mama yako wakati anaumwa Halafu unatupa justification kuwa ndivyo alivyo, Huko ni kijipa faraja tu ndugu jibu sahihi hapo ni kwamba mke wako hamjali mama yako na hana utu Sema huna cha kufanya caz umechelewa maana umesha muoa,
Baada ya kusema hayo ndugu
boby- hongera kwa kujibiwa sara zako na Mungu, huyo piga chini halafu jipe muda wa kuangalia mambo yatakavyo enda na huyo aliye kusaidia