mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 876
ahsante mkuuSoma page ya kwanza..
Nimeeleza kwa kifupi hatua za upimaji wa vvu..
ahsante mkuuSoma page ya kwanza..
Nimeeleza kwa kifupi hatua za upimaji wa vvu..
mara nyingi wengi wao wakija kukutongoza ukimwambia 2 habari za kupima utasikia kalale mbele m2 hataki kusikia habari za kupima kabisa sasa ukimkuta mwingine ambaye moyo umeisha mdondokea aakubali kwenda kugegendwa bila hata ya kutazama cku za mbelen itakuaje, kupima ni wajibu jamani hata kwa wale walioko kwenye ndoa
Harusi ni August this year,,
Kuhusu swali la pili na la tatu sipendi kumdanganya mtu,,,
Kupima hatujapima pamoja mambo yametokelezea tu mtu ana mimba ndo tukaona bora tuunganishe matukio,,,
But hizo steps ni muhimu sana kupitiwa kabla ya ndoa japokuwa na sisi lazima tuipitie pamoja... Haya mahusiano ya kukutana vyuoni haya yana shida sana inabidi tumwachie Muumba tu atusimamie kwa kweli
Smile iyo muhimu unaenda kichwakichwa matokeo yake ndo yale unaandikwa kwenye magazeti ya udaku....BWANA HARUSI MTARAJIWA AZIRAI BAADA YA KUPATA MAJIBU......NDOA YAVUNJIKA......MAJIBU YA VVU YAVUNJA NDOA n.k
lakini Smile si unajua siku hizi watu lazima wapimane viwango kwanza kabla ya kupeana usajili wa kudumu...sasa utakuta kabla ya ndoa tayari washacheza mechi za kutosha tu bila chiniguard
Kupima ni muhimu Rutashubanyuma, lakini ina maana mtakuwa hamjakulana hata ifike wakati wa kufunga ndoa, tena ndoa kibao wadada tayari wanakuwa na matumbo hapa sijui inakuwaje vile.
Mamndenyi tatizo letu linaanzia hapo kwenye dhana ya ndoa ni sherehe au siku mmejuana kimwili? mnakuwa mwili mmoja siku ile m'mechakachuana ile sherehe ni kuwataarifu kuwa sasa huyo ndiye nambari moja ingawaje ni ndoa ya wake na waume wengi.......maana kila aliyekugusa naye ni wa kwako............hata kama hamko pamoja tena.
kupima sio kazi kimbembe kuchukua majibu
Rutashubanyuma hivi haiwezi tokea hata siku ya harusi msifanye kutokana na kuwe mmebanjuwana wee hakuna tena hata mwenye hamu na mwenzake.
majibu kazi kweli lakini hakuna jinsi
gonjwa limeshika pabaya jamani.