harusi bila kupimwa vvu......

harusi bila kupimwa vvu......

Watu wanaendekeza utamu wanasahau hata kupima.. wengine wanadharau tu kana kwamba hiv ni hadithi

Zion Daughter jamaa yangu alikuja kushangaa akatamka mbele yetu....................hivi na mimi nimetoka wapi na huu uchafu? Leoeyeye ni chakula ya minyoo.......he was a dream of a many a gal...........
 
Life is full of suprise..
Kusema kweli sijawahi kushuhudia harusi ambayo bibi harusi anaolewa hana mimba au hajazaaa..

Sasa kama mtu anaolewa tayari ameshazalishwa au na mimba ya nini kupima vvu wakati mzigo wameshapeana sana hadi kuzalishana?

Kizazi cha dot com na mdogo wake digitali Mungu atuhurumie kwa kweli

Jina tu ni MKATA KIU khebu tuelezane ukweli hivi hujakata kiu hivi karibuni bila ya kinga? On serious note, kadri maendeleo yanavyoongezeka ngono inakuwa ndiyo Mungu wa mwanadamu na Mungu wa kweli tunamtupia kisigino hadi pale afya inapogoma......................ndiyo tunakumbuka, kumbe tulikuwa not stupid but foolish ones bila ya kujitambua.
 
watu wapime nini wakati washabanjuana kavukavu siku nyiiingi.

On a serious note, kupima muhimu sana basi tu ni uzembe.

Kuna dada mmoja alifoji cheti cha HIV wakati anajifahamu ni HIV+, akaolewa na kijana wa watu.

Matokeo yake, wote kwa sasa wameshatangulia mbele ya haki.

Hata mtu anayejifahamu ni HIV+ alinde wanamzunguka, kuwaambukiza watu kusudi it's very unfair jamani.

Mkuu Kongosho wanikumbusha classmate wangu mmoja alitangulia mbele za haki mwaka 2009. Wakati anafunga ndoa alikuwa na kila dalili za kuwa na HIV+. Aliolewa hivo hivo, nikamshangaa jamaa alikuwa na upofu gani maana hata hakuona dalili zilizokuwa wazi!
Mbaya zaidi jamaa alikuwa anamfatilia yule dada toka tukiwa O-level akawa anakataliwa hadi sometime alipokuwa chuo ndipo dada akamkubali kumbe kishaambukizwa.
Nilimuonea huruma sana jamaa maana kwenye msiba alikuwa anazimia, kila akizinduka anazimia.

Mbaya sana, mi nasema kupima siyo solution, dawa ni kubadili tabia basi!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unakuta kabla hata ya kufunga ndoa hawa wawili washabanduana vya kutosha na wamekuwa mwili mmoja kitambo ndoa inakuwa kuja kuofficiate tuu!
Nashauri watu wapime wakati wakiwa wachumba kabla ya kuanza kubanduana otherwise ngoma soo
 
MESTOD only the truth will free you............................utabadili tabia baada ya kujua khali yako ikoje.......katika khali ya mtu wa kawaida acha wale wenye baraka zao toka Mbinguni............
 
Tatizo unakuta kabla hata ya kufunga ndoa hawa wawili washabanduana vya kutosha na wamekuwa mwili mmoja kitambo ndoa inakuwa kuja kuofficiate tuu!
Nashauri watu wapime wakati wakiwa wachumba kabla ya kuanza kubanduana otherwise ngoma soo

Njowepo tatizo la mapenzi yetu yenye ubabaishi kibao bila ya kubanjuana wanaona hawajapendana.................na kupima wanaona ni kutokuaminiana..........Ninakumbuka enzi zangu kuna demu moja..........sasa ni mwendazake................alidiriki kuongea hadharani ya kuwa mwanaumme anayemvalia soksi hawezi kumpa kitu yake................kama hamwamini si basi aiishie tu ijulikane moja..................leo katangulia kwenye hukumu yaani kinda kabisa.............aliwaamini hata wale ambao hawaaminiki................
 
mara nyingi wengi wao wakija kukutongoza ukimwambia 2 habari za kupima utasikia kalale mbele m2 hataki kusikia habari za kupima kabisa sasa ukimkuta mwingine ambaye moyo umeisha mdondokea aakubali kwenda kugegendwa bila hata ya kutazama cku za mbelen itakuaje, kupima ni wajibu jamani hata kwa wale walioko kwenye ndoa
 
sio wakati wa kufunga ndoakabla ya kuanza mahusiano watu waende kupimadkk 3 tu majibu tayari ILA UAMINIFU NDO SWALA LA MUHIMU MAANA VVU VIPO ZAIDI KWA WANANDOA JIULIZE WHY?
 
MKATA KIU ile harusi yako lini mkuu?umeshapima? mmezaa au bibi harusi ana mimba?

Harusi ni August this year,,

Kuhusu swali la pili na la tatu sipendi kumdanganya mtu,,,

Kupima hatujapima pamoja mambo yametokelezea tu mtu ana mimba ndo tukaona bora tuunganishe matukio,,,

But hizo steps ni muhimu sana kupitiwa kabla ya ndoa japokuwa na sisi lazima tuipitie pamoja... Haya mahusiano ya kukutana vyuoni haya yana shida sana inabidi tumwachie Muumba tu atusimamie kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
ni kweli

afu kupima hata dk 5 haziishi ila watu wabishi kweli
wakati ni kwa faida ya wote

mtu mwingine anaweza kuwa HIV+ na hajijui, ila anaposhauri kupima anaonekana 'mnoko'

kweli nadhani huu upimaji kabla ya mahusiano upewe msisitizo zaidi.
kupima sio kazi kimbembe kuchukua majibu
 
mpalu majibu unayaona hapo hapo vituo vingi wanapima tu hapo mbele yako
 
Last edited by a moderator:
sio wakati wa kufunga ndoakabla ya kuanza mahusiano watu waende kupimadkk 3 tu majibu tayari ILA UAMINIFU NDO SWALA LA MUHIMU MAANA VVU VIPO ZAIDI KWA WANANDOA JIULIZE WHY?
lakini Smile si unajua siku hizi watu lazima wapimane viwango kwanza kabla ya kupeana usajili wa kudumu...sasa utakuta kabla ya ndoa tayari washacheza mechi za kutosha tu bila chiniguard
 
Last edited by a moderator:
dkk tatu tu mpalu kipimo kinatoa majibu siku hizi hawaingii ndani na damu ya mtuunatoa damu na kipimo chako kama unapima mimba vile
 
Last edited by a moderator:
sio wakati wa kufunga ndoakabla ya kuanza mahusiano watu waende kupimadkk 3 tu majibu tayari ILA UAMINIFU NDO SWALA LA MUHIMU MAANA VVU VIPO ZAIDI KWA WANANDOA JIULIZE WHY?

Kondomu zinadanganya san watu.. wanatumia siku za mwanzo lkn wakizoeana wanatupa kule..
 
dkk tatu tu mpalu kipimo kinatoa majibu siku hizi hawaingii ndani na damu ya mtuunatoa damu na kipimo chako kama unapima mimba vile
kwa staili hii mtu anaenda kujicheki kwanza mwenyewe akijikuta yuko safi ndo mnaenda ya wote wawili
 
Kondomu zinadanganya san watu.. wanatumia siku za mwanzo lkn wakizoeana wanatupa kule..
tena hata siku za mwanzo zenyewe sijui hata zinazidi tatu.....utasikia kondomu ya nini hatuaminiani au
 
ndo manake mpalu wewe kajicheki kwanza mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom