Kongosho hiki kizazi kipya hatuna jinsi ila kuhudhuria misiba bila ya kukosa na siye wazee wanatuongezea majukumu ambayo kamwe hatukayapanga.......................hata saa hii nimeitwa kuna msiba mwingine watu wako mortuary.......................another loser has just flickered out at her life at the flower of her age.................she was just 22 .and sparkling........can u imagine?
hii kitu we acha tu.....kuna watu wana mapengo kwa sababu ya hii kitu....kuna watu wana ulemavu kwa sababu ya hii kitu........hii kitu hii kitu hii kitu...majibu kazi kweli lakini hakuna jinsi
gonjwa limeshika pabaya jamani.
Kongosho point taken........................hata kabla hawajaanza kubanjuana inabidi wajipimie kuona kama kina watakiweza...............na hili gonjwa lina laana fulani aliyenao furaha yake ni kusambaza sijui kwanini?
Upimaji wa hiari usiishie kwenye uchumba tuu.bali hata kwenye ndoa ni muhimu.Tusisubiri mama apime afya pindi awapo mjamzito.Nawashauri wana ndoa, kupima afya zao mara kwa mara.
Na inabidi wawe na ratiba ya kupima mara kwa mara. Kwani kwa kuwa kila mmoja anakuwa bado yuko kwenye harakati za kutafuta mwenza mbadala mmoja wao anaweza kuambukizwa HIV na kumuambukiza mwenzake. Inabidi kila mwezi wawe wanapima kuona kama wote bado bado wapo salama.
hii kitu we acha tu.....kuna watu wana mapengo kwa sababu ya hii kitu....kuna watu wana ulemavu kwa sababu ya hii kitu........hii kitu hii kitu hii kitu...
at 22? Too young to go hasa kama ni kwa ngono zembe.
watu wanauliwa na 'uaminifu'
Mambo ya HIV hayajadiliwi wakati wa kutafuta penzi, mbwembwe zingine tu zitafanyika.
Makosa yanaanza pale watu wanaposhawishiana kwenda kunako 6x6 kabla ya kujadili HIV na Kondom.
Muda wa mapambano ukifika wakati mmoja anasema zidumu baada ya kuoneshwa paja la kukaangwa, hapo hata kondom akijipendekeza huwa hasikilizwi, hata saa zingine hutumiwa kati ya mwendo wanamtupa na kumbebesha lawama.
Chunguza kasi ya wapenzi wanaotumia majira na wale wanaotoa mimba, utaelewa hili
'MIMBA MNATOA NA UKIMWI JE'
Unabaki.
Unajua mara nyingi kinacho fanya watu kufunga ndoa bila kupima ni kufanya ngono kabla ya ndoa na mwisho wake wanaona hakuna umuhimu wa kupima!
Likini wana sahau kuwa swala la kupima ni muhimu ili kujua hali zenu, kama mtakutwa mmeathirika mtaishi kwa tahadhari zaidi pia wataweza kujikinga na maambukizi mapya!
Tatizo linakuwa idadi ya mechi ulizouza..! Mie huwa namtell wife akapimwe kipindi cha mimba, if she is negative and so do I..!