ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
yaan tunapimana ukimwi wakati kuna magojwa zaidi ya ukimwi hatuyatilii mkazo, dah ila aka kagojwa kamejikita sehemu mbaya lakin mi nishapima je wewe?
unajua mahusiano mengi yanayoanzishwaga hua hayanaga malengo ya muda mrefu..kama ikitokea ni ya mda mrefu ni dizain bahati tu..so watu hawana uhakika kama watakua pamoja kwa mda mrefu au vipi..thats why inakuaga ngumu kupima..swali la kizushi, katika mahusiano yako uloanzisha ulianza kwa kushauri mkapime ama vipi....? wala usijibu ni ukae nalo tu kichwani hilo...ova...Hi Konnie, hi uncle Ruta...
Mapenzi yakiwa bado mabichi kabisa,kabla hawajavuliana nguo,inabidi washauriane,wakapime.
Na ni woga wa bure kwani kule kuna qualified counsellors,hupimwi tu na kupewa majibu. Mi nimesoma counselling ya Ukimwi. Kuna hatua zake..mpaka mteja hatua ya mwisho anaulizwa kama yuko tayari kuyapokea majibu,na je yakiwa pos atachukuliaje,na yakiwa neg pia,atayachukuliaje.
Couple nayo ina namna yake,kila mmoja kivyake,kisha wakati wa majibu pamoja.
Process ya dk 15 hivi kwa kichwa.
yaan tunapimana ukimwi wakati kuna magojwa zaidi ya ukimwi hatuyatilii mkazo, dah ila aka kagojwa kamejikita sehemu mbaya lakin mi nishapima je wewe?
unajua mahusiano mengi yanayoanzishwaga hua hayanaga malengo ya muda mrefu..kama ikitokea ni ya mda mrefu ni dizain bahati tu..so watu hawana uhakika kama watakua pamoja kwa mda mrefu au vipi..thats why inakuaga ngumu kupima..swali la kizushi, katika mahusiano yako uloanzisha ulianza kwa kushauri mkapime ama vipi....? wala usijibu ni ukae nalo tu kichwani hilo...ova...
well said.. Rutashubanyuma. hata kama hukupata fursa ya kupima wakati wa harusi, kuwa na utamaduni wa kupima kila baada ya muda fulani ni vyema ili kujua afya na kujipanga zaidi jinsi ya kujilinda.
Watu wanasubiri mama apate ujauzito ndo apimwe lol... (hapa no excuse)