cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,727
- 191,833
๐๐๐๐ mnukio, naomba nibaki nao mwenyewe.Hahaha hatareee zilikua zinanukia aje hebu tupe mwongozo, kwahili mambo yako hatukuachii mwenyewe inabidi utuambie ๐
๐๐๐๐ mnukio, naomba nibaki nao mwenyewe.Hahaha hatareee zilikua zinanukia aje hebu tupe mwongozo, kwahili mambo yako hatukuachii mwenyewe inabidi utuambie ๐
Tena mabwaku haswaa, ๐๐๐๐makubwa
Una mimba...Harufu ya mwili wa mpenzi wangu,aisee natamani kumtafuna
Namaanisha ukipenda kweli basi hata akiwa mbali utagundua ujio wake kwa kaharufu kake murua...
Nguo zake unapotaka kufua uwe unazinusa kwanza,umesikia mleta mada ๐
Sikio la kufa huwa halisikii dawa kama mtu hajawa tayari kubeba majukumu ataenda kumezea hata chooniTumia kalenda,p2 sishauri kama hajawahi zaa
Mpaka nimepaliwa akiTena mabwaku haswaa,
๐๐๐๐ hatariii.Mpaka nimepaliwa aki
HakikaSikio la kufa huwa halisikii dawa kama mtu hajawa tayari kubeba majukumu ataenda kumezea hata chooni
Usiache aiseAcha kabisa, uvinza nimeweka makazi japo kila siku wanasema kuna madhara
Harufu ya mafanikioKwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.
Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi?
Copy to:
secretarybird | Binti Sayuni03
To yeye | Joanah | dosho12
Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
If you havenโt smell itMafanikio yana harufu ๐ค
Ewaaah ๐ naoga kila siku ko like jasho halikerii hata kidogo...Noma sana jasho la kazi ๐