Sasa
Kasinde, mimi nimekusoma zaidi ya mara moja lakini kusema kweli sijakuelewa, naomba nifafanulie kidogo, "crash" ulimaanisha mmegongana gari zenu? na ndivyo nilidhani kwanza kuwa mmegongana (ajali), lakini baada ya kukusoma naona hamja "crash" au ulimaanisha "crush"? (umemzimikia) au ulimaanisha mli "clash" kwa maneno.
Unajuwa hizi lugha za watu kuchanganya na Kiswahili saa nyingine sisi wenye uelewa mdogo inakuwa shida kukuelewa ulimaanisha nini, naomba nisaidie ufafanuzi, was it "crash", crush or clash?