Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,392
Hivi siku zile pale basi haya ulikuja na gari gani vile.?Ole wako unitaje na kigari cha watu nlichoazima nisafishe nyota.
Hao wanaitwa empty head-ila Kasinde na wewe kila siku hoja zako na mada zako ni za crash barabarani sometimes unanipa shida binafsi kuamini
jf kila mtu anagar sijui nan mtembea kwa miguu
Ingekuwa crash ingine ningekuambia you need to get laid asap tena hardcore. lol
jf kila mtu anagar sijui nan mtembea kwa miguu
Mishemishe mjini ni mingi mkuu, labda alianza na kumpeleka ndugu yake Stand ya Mkoa then akaendelea na mishemishe yake, kwahiyo mkuu @Tusker Bariiidi alitaka kumjua kama ni jirani yakeWe nawe kweli kilaza Madela Road na Makongo Juu wapi na wapi?
Kwa huku Visiwani ni sawa na kusema Paje na Michenzani
Tungejuwaje kama Kasinde ana gari na anaendesha?
Hahahah keimamae walah.
Miye niko zangu huku Makunduchi kama wataka we njoo, lakini huku stori tu, game kwa mkeo au mchumbako
Mwenzanguuu..maana sieleeeewiiii!!!Hahahahaaaaa, kazi kwelikweli shostito.