Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
asantee ila jamaa alinikera sana yaani ngethubutu tuu kushuka kwenye gari yake kunifata maana aliniblock kwa mbele ningefungua kioo nikampiga kwenzi kisha nikafunga vioo na kujilockia milango.
halafu angekuwa anakuangalia tu ukimpiga kwenzi au na yeye angekukiss? LOL