Harrier T...BXL hii sio crash ni karashi!

Harrier T...BXL hii sio crash ni karashi!

Jamani leo nimekutana na huyu mtu wa Harrier si kuwa nime crash nae ni kuwa ameniletea msala barabarani. Ilikuwa hivi niko mandela road alfajiri leo kuna mahali nilikuwa nawahi sasa kufika eneo la mwananchi pale kwenye kiungio cha reli kuna mashimo na leo nilikuwa na ka baby walker so nikapinda kulia kukwepa mashimo kisha nikarudi main road ili niendelee maana kuna siku nilipota hapo kwa speed nikayavaa mashimo tairi ikatoka kwenye rim. Sasa nyuma yangu ndo kulikuwa na hii harrier ilikuwa inakuja ikataka kunipita wakati mie nakwepa shimo ile narudi barabarani akawa kama kaniblock kwa mbele. Tukatupiana maneno hapo kisha nikamwambia nenda basi muda unaisha maana ningekuwa nakata kona ningewasha hand cater.
Aliniboa baada ya kuondoka akakaa site ya kulia mie nikapita ya kushoto akawa anaendesha kawaida, kwa vile nilikuwa na haraka nikakanyaga mafuta baby walker yangu nimpite nae akakanyaga wese baada ya kuona nampita nusura amgonge mtu wa bodaboda yaani aliniboa mnoo na ndo ilikuwa alfajiri.
Yaaani wewe harrier T...BXL popote ulipo ulichonifanyia leo sijakipenda hata.

Jamani Kasinde kwanini hau-crash na ka Suzuki Aerio kangu? namba T.....AXK? ...au ni kwasababu kazamani sana? ...Mmmh I wish one day you crash with me...:A S embarassed::shocked: Ha ha ha!
 
Last edited by a moderator:
Zinduna nilikuuliza swali zamani sana!

mpaka leo umebaki na kigugumzi sijui kwanini!!?

bado upo upo ama vipi?
Waweza lipa mahari ya Ngamia na farasi mweupe weye? hebu ulizia mahari za Wacomoro ndio uje
 
ila Kasinde na wewe kila siku hoja zako na mada zako ni za crash barabarani sometimes unanipa shida binafsi kuamini
 
Last edited by a moderator:
We nawe kweli kilaza Madela Road na Makongo Juu wapi na wapi?
Kwa huku Visiwani ni sawa na kusema Paje na Michenzani

Ustaadhat, mie nipo kiembe samaki kuelekea uwanja wa ndege, vipi naweza kukuona...twende foro, lol..
 
Kasinde bana, hakika utampata barabarani, nahisi ukiwa kwenye tukutuku, zile vibration zinakupa tabu sana bibie..lols
 
Last edited by a moderator:
Jamani leo nimekutana na huyu mtu wa Harrier si kuwa nime crash nae ni kuwa ameniletea msala barabarani.

Ilikuwa hivi niko mandela road alfajiri leo kuna mahali nilikuwa nawahi sasa kufika eneo la mwananchi pale kwenye kiungio cha reli kuna mashimo na leo nilikuwa na ka baby walker so nikapinda kulia kukwepa mashimo kisha nikarudi main road ili niendelee maana kuna siku nilipota hapo kwa speed nikayavaa mashimo tairi ikatoka kwenye rim.

Sasa nyuma yangu ndo kulikuwa na hii harrier ilikuwa inakuja ikataka kunipita wakati mie nakwepa shimo ile narudi barabarani akawa kama kaniblock kwa mbele.

Tukatupiana maneno hapo kisha nikamwambia nenda basi muda unaisha maana ningekuwa nakata kona ningewasha indicator.

Aliniboa baada ya kuondoka akakaa site ya kulia mie nikapita ya kushoto akawa anaendesha kawaida, kwa vile nilikuwa na haraka nikakanyaga mafuta baby walker yangu nimpite nae akakanyaga wese baada ya kuona nampita nusura amgonge mtu wa bodaboda yaani aliniboa mnoo na ndo ilikuwa alfajiri.

Yaaani wewe harrier T...BXL popote ulipo ulichonifanyia leo sijakipenda hata.

Sorry Its my second car ,may be my driver was not in a good mood....
 
Ustaadhat, mie nipo kiembe samaki kuelekea uwanja wa ndege, vipi naweza kukuona...twende foro, lol..

Miye niko zangu huku Makunduchi kama wataka we njoo, lakini huku stori tu, game kwa mkeo au mchumbako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom