Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Ni tendo la kukubaliana na anachosema mhusika! Ndio maana hata watu wakipatana hupeana mikono. Kwa muktadha wa tukio husika Harmo angekubali kutoa mkono angetangaza vita rasmi Mondi
Pia inahusiana na kuchukua nyota yako. Huu ipo sana.
 
Hizo ndo wizara za kuvunja kama hizi ndo kazi wanazoenda kuzifanya.

Hao wakina diamond wacha wauane, tuawazika kama kina kanumba na kuwasahau.
 
Mkuu unakosea sana unaposema mkataba ni wa shurti (dures based contract). Kwa maana hiyo basi mkataba huo si mkataba tena kisheria na harmonize angeweza shitaki na makubaliano ya huo mkataba kufanywa batili, hivyo kutokulipa 600m

Ningekuelewa kiasi fulan labda ungesema kwamba ni mkataba ambao ulikuwa na "undue influence".., na kiuhalisia maelezo yako yote katika uzi huu ndipo yalipobase wala si dures kama ulivyotanabaisha wewe

Tunapozungumzia "undue influence" kwa lugha yetu rasmi tunasema "nguvu za uchocheo" na kwa sheria yetu ya mikataba inasema hali hii ni ipo pale ambapo mahusiano baina ya wahusika mmoja ana nafasi ya kutawala hiari ya mwingine na kutumia nafasi hiyo kwa faida yake... Na ndio maelezo yako yapo hapa
hakuna dures apo mwandishi arejee sheria ya mikaba vizuri maana yote aliyoiongelea hapo ni "undue influence" Kiswahili fasaha ni "Nguvu ya uchochezi "
 
Tumemsikia Hamornize akilalamika, hatujasikia Diamond akijibu chochote. Nadhani kunyamaza ni hekima kuliko kujibu.

Ukweli mwingine ni kuwa habari nyingi zina trend zinapohusishwa na Diamond tu.
 
Kiasili mikataba ya aina hii huwa inavi elements vya unyonyaji
Hata mbele huko inatokea sana

Lakini kwa huu mkataba wa Konde na Wasafi na level alizofikia Konde kwa kuwa Wasafi ........ sioni kwanini Konde bado analia lia kila siku na jambo hili

Mimi naamini Konde anathamani kubwa zaidi ya hiyo ml500
Ni wanamuziki wangapi nje ya Wasafi au Kiba labda Nandy na Marioo? anaweza kudhaninika na kupewa ml500 kama alivyopewa Konde?.......... Hii ni thamani kubwa sana kwake

Binafsi naona kama Konde hatambui ukubwa wake uliotengenezwa na juhudi zake na kubebwa pakukubwa na Wasafi

Leo hii Konde anamiliki lebel, kasaini wasanii wakubwa sasa, anafanya events zake mwenyewe, anaingia mikataba yake kwa lebel yake na hakika ana “wanyonya” pia wasanii wake na ameingia nao mikataba jamii hiyo hiyo tu sababu huwezi kumtengenezea Ibra video ya mill80 kumsaidia wala kumgharamia Cheed, Angela nk mamilioni ya sh kuwasaidia tu wakati hiyo ni biashara na inataka faida kujiendesha
Hii yote ni matunda ya yeye kutokea wasafi

Nikichukua mizania ya kimantiki kisha nikapima mabaya yote Konde anayolalamikia Wasafi kisha nikalinganisha na mazuri yote Konde aliyopata Wasafi na akiyatumia vizuri for the rest of his life basi mzania unaniambia Mmakonde karamba karata dume...... anafaida zaidi ya wasafi

Nadhani anahitaji watu makini kumuelimisha kuhusu hili
Au labda anajua ila akiona kama anayumba basi inabidi atumie jambo hili kama “kiki” ili kumboost

Ni almost miaka mitatu sasa toka aondoke Wasafi. Ni wakati wa ku move on na kuacha kazi zishindane na sio vilio na lawama utafikiri Wasafi walimng’oa koromea la kuimbia
 
wakati wenzako wana hangaika kutoboa kimataifa zaidi na zaidi kwa kufanya collabo na wasanii wakubwa i.e Justine Bieber kuna mwamba yeye yupo bize studio na 20% ana kwambia we are going global
Justin bieber wa buza ama
 
Mtu akiwekeza 100M lazima Apate faida ya 1B. Ukilielewa hili, utapaswa utimize.
Tofauti na hapo, umeamzisha uhasama. Ilipaswa ufanye maamuzi kabla ujajihusisha. Maisha yetu waswahili ndivyo yalivo.
 

Kuna kitu nafkiri bado watu weng hatuelewi,diamond n msanii aliydjitengenezea tayar mashabik zake weng na weng n wakudumu,so automatically ukishasainiwa wcb unasupportiwa na mashabik wote wa diamond.
Hii haimaaniahi ww n bora,hapana,nafkiri hakuna msanii wa wcb ambae anaweza akatoa ngoma af isifike views 1m youtube kwa muda mfupi au isipate airtime.
So hao hao wasanii unao waona wakali wakija kutoka wcb automatic mashabik wa diamond wanaacha kumshabikia na kuonekana hajui,hii ni kitu mbaya sana.
Mziki wetu una safari ndefu sana kufika walipofika wenzetu mfano wanaija af kitu nachoona tunakosea kwenye hizi tunazoita lebels hasa za bongo ni kwamba lebel inaendeshwa kama groups kitu amabacho sio.
Since kwenye lebel kila msanii ana mkataba wa kivyake so kila mtu inabid asimamiwe na aishi kivyake ikiwezekana hata msipofahamiana n fresh ndo wanavofanya wenzetu mbele huko,kuendesha kama group ndo mwanzo wa kuonekana mmoja anapendelea kuliko mwengine
 
Ukisikiliza story ya mtu anayelalamikia jambo kuna njia moja ya kujua kama huyu mtu anaongea ukweli tupu au kachanganya na agenda nyingine

Niseme tu ukisikiliza video ya harmonise utagundua vitu viwili vikubwa

1.Hana alilokosea kabisaaaaaaaa kitu ambacho sio ukweli kibinadamu alipaswa kuwa na kipande ambacho alitakiwa kukubali kabisa niliteleza nikafanya kitu flani baada ya kuona hivi na hivi au kupandwa na hasira.Story nzima harmonise ni victim,huu ni uongo

2.Harmonise anatafuta huruma ya jamii
Hii ni tabia ya wasanii wetu kibongobongo ht mond anafanyaga hivi

Dogo kaelezea vizuri sana ila mistake kubwa aliyofanya ambayo mwenye uelewa mkubwa yeyote ataelewa ni kushindwa ku admit hata mistake yake moja ndogo tu ambayo labda kwa namna moja au nyingine ilileta migogoro.

Harmo amepikwa na mond akapikika,Anajua ku trend na wabongo tunapenda trending cha kuzingatia asisahau kutunga nyimbo zinazotrend.Mond ana trend kwenye music platforms na ujinga ujinga.Harmo amefanikiwa ku trend kwenye social networks awe makini sana kwenye music platforms maana data zinasema anashukaa.
 
Aya sawa
 
Ahahaahah upuuz mtupu
 
KuLe juu umeandika vzr sana..huku chini umeishiwa maneno.... Sisi ni binadamu
 
Kama unabisha lete mkono tuone. Lete mkono nasemaaaaaaaaaaaaa 😀🤛
 
Fallacy in Reasoning, attaching irrelevant issue to main Topic so to as divert the issue! Jadili hoja zilizotelewa dhen tukimaliza tujadili suala la Kumshinda muziki na album kufanya vibaya
 
Kondeboy nilikuwa namuona snitch, ila Kwa huu ufafanuzi nimemuelewa sana , nafikiri tatizo kubwa ni wapambe wa diamond kutaka kuwagombanisha na wamefanikiwa Kwa Hilo , , Kila mtu ashinde mechi zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…