Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Wapi rafiki yangu Topical aka mzee wa CUF? Tupia neno moja mkuu! kwani nimekumis sana sheikh wangu!
 
[h=6]Kwa kweli leo ndio nimeamini kuwa CDM ni chama cha kikiristo kwani wachungaji na maasikofu wamejitoa makanisani mwao na kuanza kupanda jukwaani kummnadi eti kwa kumuombea. Source ITV, taarifa ya habari ya leo thrh 22/3/2012[/h]
 
mmeanza kujihami , tume ina makosa gani? Na mkapa ametowa wapi haya maagizo? Hamtaacha uchochezi mpaka mtakapopata viongozi wabunifu,, hamuishi kulalama kama wanawake subirini hy tarehe 1-4-2012 mtakavyosambaa mapema

wewe ndio utasubiri na this haki tutaitafuta kwa njia yeyote ile. Na uwache kuwaza kwa njia isiyo sahh
 
Wapi Waberoya? au unasubiri Thread ya TUNTEMEKE NA PAA? za mazuri kwa CDM uchangii neno lolote?
 
kiasi kilichopatikana ni siri kwa sasa hadi fungu la wenye chama litengwe kwanza ie kaskazini especially moshi

.Huna lolote thaman yako ni kama ndala zinazoishia sebuleni chumban hazfki.Chadema ndo dawa yenu tulizeni vidude dawa yenu ipite!!Magamba kazi mnayo.
 
Hiyo movement yao ingekuwa imefanyikia mikoa ya Lindi, Mtwara,
Ruvuma au Rukwa ningeshiriki! Kwenda kufanyia kitu kama hicho nyumbani kwa CDM kumenidiscourage!
Charity begins at home. Kila chama kina ngome yake hata CCM haiwai kushinda Pemba tangu mfumo wa vyama vingi uanza
 
Kwa kweli leo ndio nimeamini kuwa CDM ni chama cha kikiristo kwani wachungaji na maasikofu wamejitoa makanisani mwao na kuanza kupanda jukwaani kummnadi eti kwa kumuombea. Source ITV, taarifa ya habari ya leo thrh 22/3/2012
Maneno ya mkosaji hayo!....mutaumwa vidonda vya tumbo! munalo hilo mwaka huu
 
[h=6]Kiukweli kama watanzania ni wazalendo na nchi yao. basi kauli za uongo zinapaswa kupigwa vita. Leo nashangaa kusikia kuwa nchi yetu haikuwahi kuwa na mshikamano, umoja, upendo na amani mpaka hapo ambapo CDM wamekuwa chama cha kwanza kuleta mshikamano hapa Tanzania, ninaweza kuita ni kauli dhaifu kwa kiongozi mkubwa kama yeye (Dr. slaa) unapo utangazia umma kuwa CHADEMA ndo chama cha kwanza kuleta mshikamano Tanzania, naomba tujiulize

1. Tanzania ilipataje uhuru wake bila mshikamano
2. Tanzania iliondoaje ukabila bila mshikamano
3. Tanzania ilishindaje vita vya Idd Amini bila ya mshikamano
... 4. Tanzania imeingiaje kwenye mfumo wa vyama vingi na uhuru wa kuongea(kuropoka, maana wengine wanaropoka tuu kisa yupo huru) bila mshikamano
5. Tanzania imetunzaje amani ya nchi yake bila mshikamano

Je kwa kipindi chote hicho mpaka leo watanzania wanaishije bila ya mshikamano

Je CDM imefanya kipi au imechukua lini madaraka mpaka imeleta huo mshikamano ambao nchi haukuwa nao????????????????

kwa hoja na sio ushabiki naomba kusaidiwa

najua waropokaji watakuja na kuanza kudai oh katumwa. Mimi ni msomi najitambua hivyo sin jinsi ya ya kumfanyia kazi mtu mwingine. but nahitaji kuyajua haya tu.
[/h]
 
Vipi watu hamulali jamani
Sasa hivi sa 6 wake zenu na waume zenu watakuwa wanalalamika sasa

There are currently 649 users browsing this thread. (162 members and 487 guests)
 
[h=6]Kwa kweli leo ndio nimeamini kuwa CDM ni chama cha kikiristo kwani wachungaji na maasikofu wamejitoa makanisani mwao na kuanza kupanda jukwaani kummnadi eti kwa kumuombea. Source ITV, taarifa ya habari ya leo thrh 22/3/2012[/h]
Kaka inaonekana imekuuma sana kama ID yako ilivyo lakini mabadiliko huwa hayazuiliki na hakuna utawala uliodumu milele
 
wewe unatumia fuvu la kichwa tu kufikiri na siyo ubongo.Kama umekojolea shuka lako kitandan ukashndwa kulala nenda kanuse tundu la choo usiku kucha kama wewe ni magamba halis.Huna lolote thaman yako ni kama ndala zinazoishia sebuleni chumban hazfki.Chadema ndo dawa yenu tulizeni vidude dawa yenu ipite!!Magamba kazi mnayo.

arumeru kama igunga na uzini,chapa mboko za mgongoni wachaga hao
 
Kwa kweli leo ndio nimeamini kuwa CDM ni chama cha kikiristo kwani wachungaji na maasikofu wamejitoa makanisani mwao na kuanza kupanda jukwaani kummnadi eti kwa kumuombea. Source ITV, taarifa ya habari ya leo thrh 22/3/2012

Udini hautawasidia kuleta maendeleo. Labda ndo maana sifa kubwa ya kuwa mwana CCM ni kutomwogopa Mungu, uzindika na uzabizabina
 
Kama nimesikia kwenye mitandao watu wamechanga tshs 8M tu! Duh watu kwenye viboard vp jamani...nini mchango wako?mimi nimechanga wewe je?

Mhusika plz NPM akaunti namba nitaweka lak 1. but niliaply pia membership on line sijajibiwa zaid ya mwaka umepita
 
[h=6]NAWAULIZA NDUGUZANGU HIZI KADI TUZIFANYAJEE?????[/h]

hzo ni kadi bandia na za kupikwa na magamba hamna mwana cdm mwenye akil timamu awezaye rudisha kadi yake kw magamba kwani hawana lolote zaid ya utapeli na uongo,kujitapa na ubabaishaji.Magamba siku watz wamechoshwa na tabia znu n lazma muikimbie hii nchi.Ccm hamna cha kutudanganya
 
Kwa kweli leo ndio nimeamini kuwa CDM ni chama cha kikiristo kwani wachungaji na maasikofu wamejitoa makanisani mwao na kuanza kupanda jukwaani kummnadi eti kwa kumuombea. Source ITV, taarifa ya habari ya leo thrh 22/3/2012

Acha hizo hakuna udini katika chadema .umeshiiwa nyimbo kama rafiki zako wakina tyson na chama chao cha kujivua gamba ambalo halivuliki
 
Kiukweli kama watanzania ni wazalendo na nchi yao. basi kauli za uongo zinapaswa kupigwa vita. Leo nashangaa kusikia kuwa nchi yetu haikuwahi kuwa na mshikamano, umoja, upendo na amani mpaka hapo ambapo CDM wamekuwa chama cha kwanza kuleta mshikamano hapa Tanzania, ninaweza kuita ni kauli dhaifu kwa kiongozi mkubwa kama yeye (Dr. slaa) unapo utangazia umma kuwa CHADEMA ndo chama cha kwanza kuleta mshikamano Tanzania, naomba tujiulize

1. Tanzania ilipataje uhuru wake bila mshikamano
2. Tanzania iliondoaje ukabila bila mshikamano
3. Tanzania ilishindaje vita vya Idd Amini bila ya mshikamano
... 4. Tanzania imeingiaje kwenye mfumo wa vyama vingi na uhuru wa kuongea(kuropoka, maana wengine wanaropoka tuu kisa yupo huru) bila mshikamano
5. Tanzania imetunzaje amani ya nchi yake bila mshikamano

Je kwa kipindi chote hicho mpaka leo watanzania wanaishije bila ya mshikamano

Je CDM imefanya kipi au imechukua lini madaraka mpaka imeleta huo mshikamano ambao nchi haukuwa nao????????????????

kwa hoja na sio ushabiki naomba kusaidiwa

najua waropokaji watakuja na kuanza kudai oh katumwa. Mimi ni msomi najitambua hivyo sin jinsi ya ya kumfanyia kazi mtu mwingine. but nahitaji kuyajua haya tu.
Mnalo mwaka huu'mtatokwa na mapovu sana hadi mpate vidonda vya tumbo na msongo wa mawazo juu.
Hiyo ndiyo CDM ukisikia nyingine ni fake.
Baadhi ya maneno uliyoongea hapo juu ni kweli,lakini watu wameichoka ccm
 
Back
Top Bottom