.Moja jumlisha moja=2.
Moja ongeza moja=11
Mie huwa naudhika na hii
moja jumlisha moja 2
moja mara moja 1
Afu kama 0 mara 0 ni 0, na moja mara moja ni 2, kwa nini 2 mara 2 isiwe 2?
.Comination and Permutation??
This is hard kwa kweli.
Mie huwa naudhika na hii
moja jumlisha moja 2
moja mara moja 1
Afu kama 0 mara 0 ni 0, na moja mara moja ni 2, kwa nini 2 mara 2 isiwe 2?
ni kwa imani tu. Kama dogo anavosema kwenye link haha!http://4.bp.blogspot.com/_xZJENponhAc/R1TDswIaxdI/AAAAAAAAALI/pb83q5fgyBM/s400/mathematics.gif
Form 1 na form two nilipenda sana hesabu na niliziweza kweli... Tukajabadilishiwa mwalimu tukapewa mama Nko( r.i.p ) mkali, anachapa huyo, kuanzia hapo nikaanza kuchukia na kufeli Maths, siipendi mpaka leo lol.,. Preta ulipita kwenye mikono ya mama Nko?
nilianza na Mushi......nikaishia na huyo mama.....kumbe alishavuta...dah..a RIP...
halafu huyo Mushi anatufundisha huku sijui anatuangaliaje....ndio aliniharibia pozi la metsi.....nilikuwa najua hesabu vizuri tuu....
aisee mlisoma shule moja nn
Naunga mkono hoja.mtunzi wa math akili zake zilikuwa hazina akili.
aise math bana afu kinachoboa sometime ni hiki!
.
IN CLASS
d(2x)=2
.
HOMEWORK
find
d(In2x+4x)
.
EXAMINATION
find.
d[(e^2x/InX^2 +(sin4x)(cos5x)Xlog x^2)]
.
Not fair
Naunga mkono hoja.
Yaani X unaiona kwenye question paper halafu unaambiwa uitafute (find) X? au kuna ile Triangle hata haina temperature wala joto lakini unaambiwaga sijui 180 degrees. Ukiunganisha na walimu wangu wa math wote walikufa premature death nimeonelea bora nijikite kwenye siasa sasa.
Mi nlikuwa mkali wa hadithi za kushangaa... Eti 2 ikishangaa unapata 2, tatu ikishangaa unaibuka na 6.... Nne ikipata mshangao unaibuka na 24 khaaa! Yaani tano ikipigwa bumbuwazi i mean 5! = 120. Khaa!