Uko sahihi ndio
Unapenda kutumia pai?
math ni ugonjwa wa taifa jamaan...sina hamu nayo
Mzingo?
Mie huwa nakalkulet volume ya silinda
Ila zamani maths ilipendwa na jamii..sielewi huu mgogoro umetoka wapi siku hizi...
mwanamme asimpende mwanamke.
Hawa walimu wa voda fasta nao ni kuwabebesha mzigo mkubwa kuliko wanachoweza fanya.
Nadhani hisababi haina kipaumbele tena.
Kumbuka zamani kulikuwa na kitabu cha hisabati za kiwetu, darasa la saba bila kukimaliza hicho kabla ya mtihani anajiona hajafanya lolote. Watoto walikuwa na competition nyingi sana.