Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Good Guy,
So jamaa hakuogopa alijua anabaki pale pale
So jamaa hakuogopa alijua anabaki pale pale
hahah kulaaleki mi nazani x alikuwa demu na y kidume. Ndo maana zimetumika hata kwenye via vya mbegu za uzazi. Chezeya mathematics wewe...Afu x na y walioana?
Mbona wanapendana hivyo?
Hamna bikari wala mchumbaake bikari. Shule yetu ilikuwa ukikuwa na rula tu basi utamlala hadi mwalim wenyewe wa hisabati ambae pia alikuwa mke wa mwalim wa hesabati wa shule nyengine.Uliwahi kutumia bikari darasa la saba?
Nakumbuka aliyekuwa nayo darasa la watu 120 alikuwa mmoja tu
Ilikuwa kama kufundisha sipiyu ubaoni.
Sasa mbona hapo hujasema tuintagreti with respect to vikojoleoz kwa limit from 6 inches to 6 feet?Haya bana, umeshinda leyo
y=f(x) kwa maana nyingine Babu ODM=f(kongosho)
Afu felo tableti na Kongosho asali ya odm, hamuoni leo ni siku spesho ya jinsi ya kukalkuleti mbinu za kudai mahela yetu kwa Superman?Hamna bikari wala mchumbaake bikari. Shule yetu ilikuwa ukikuwa na rula tu basi utamlala hadi mwalim wenyewe wa hisabati ambae pia alikuwa mke wa mwalim wa hesabati wa shule nyengine.
Eti namba yoyote ukiigawanya kwa yenyewe jibu lake ni 1. Lakini sifuri gawanya kwa sifuri jibu lake siyo 1. Mimi bana napenda sana hisabati. Hii sifuri ikishangaa jibu lake nini Kongosho?
Ha ha ha ha, afu hiyo bikari nilihakikisha nimeiibaHamna bikari wala mchumbaake bikari. Shule yetu ilikuwa ukikuwa na rula tu basi utamlala hadi mwalim wenyewe wa hisabati ambae pia alikuwa mke wa mwalim wa hesabati wa shule nyengine.
Hivi tunainagreti au diferenshiate?Sasa mbona hapo hujasema tuintagreti with respect to vikojoleoz kwa limit from 6 inches to 6 feet?
Ile superman ni mutu ya ahadi nyingi. Kumbe kiroba cha fifty sauzend bado hajatoa?Afu felo tableti na Kongosho asali ya odm, hamuoni leo ni siku spesho ya jinsi ya kukalkuleti mbinu za kudai mahela yetu kwa Superman?
Halaf wasomi wa hesabu wabaguz kichizi, mimi mchumbaangu wa kwanza alikuwa mhasibu na alinipaga kibuti bikoz nilipata F+ ya hesabu kidato cha nne.Ha ha ha ha, afu hiyo bikari nilihakikisha nimeiiba
Nikawa naitumia nikiwa home tu
.
Pi is ratio of circumference to diameter of circle. Swali: pi inapatikana vipi(how is Pi determined/computed)? It can be done experimentally by wrapping thread round a cylinder to determine circumference. Measure the diameter using a caliper then divide circumference by diameter to determine pi. Pi can be determined theoretically as a sum of infinite series eg Fourier expansion of a step function.(For the mathematically challenged series expansion itaumiza akili). Advantage of series expansion is that pi can be computed to very high degree of accuracy.
In mathematics, a fixed point (sometimes shortened to fixpoint, also known as an invariant point) of a function is a point that is mapped to itself by the function. A set of fixed points is sometimes called a fixed set. That is to say, c is a fixed point of the function f(x) if and only if f(c) = c. For example, if f is defined on the real numbers by
![]()
then 2 is a fixed point of f, because f(2) = 2.
nakumbuka ndo ilikuwa Avatar yangu ya kwanza
View attachment 49324
You can say that again, sijui wanawazaga nini kutuletea wenzao haya madudu na kutulazimisha kuyaelewa/ kuyakremu kwa purpose ya kufaulu mtihaniUwiii
Hapo ndo hesabu hukimbiza watu
Graph kama hii hutisha bana