Happy Maths Day!

ROMANCE MATHEMATICS

Smart man + smart woman = romance

Smart man + dumb woman = affair

Dumb man + smart woman = marriage

Dumb man + dumb woman = pregnancy
 
Form 1 na form two nilipenda sana hesabu na niliziweza kweli... Tukajabadilishiwa mwalimu tukapewa mama Nko( r.i.p ) mkali, anachapa huyo, kuanzia hapo nikaanza kuchukia na kufeli Maths, siipendi mpaka leo lol.,. Preta ulipita kwenye mikono ya mama Nko?

nilianza na Mushi......nikaishia na huyo mama.....kumbe alishavuta...dah..a RIP...
halafu huyo Mushi anatufundisha huku sijui anatuangaliaje....ndio aliniharibia pozi la metsi.....nilikuwa najua hesabu vizuri tuu....

aisee mlisoma shule moja nn
 
mtunzi wa math akili zake zilikuwa hazina akili.
Naunga mkono hoja.
Yaani X unaiona kwenye question paper halafu unaambiwa uitafute (find) X? au kuna ile Triangle hata haina temperature wala joto lakini unaambiwaga sijui 180 degrees. Ukiunganisha na walimu wangu wa math wote walikufa premature death nimeonelea bora nijikite kwenye siasa sasa.
 
Mi nlikuwa mkali wa hadithi za kushangaa... Eti 2 ikishangaa unapata 2, tatu ikishangaa unaibuka na 6.... Nne ikipata mshangao unaibuka na 24 khaaa! Yaani tano ikipigwa bumbuwazi i mean 5! = 120. Khaa!
 
Uliwahi kutumia bikari darasa la saba?

Nakumbuka aliyekuwa nayo darasa la watu 120 alikuwa mmoja tu
Ilikuwa kama kufundisha sipiyu ubaoni.

Naunga mkono hoja.
Yaani X unaiona kwenye question paper halafu unaambiwa uitafute (find) X? au kuna ile Triangle hata haina temperature wala joto lakini unaambiwaga sijui 180 degrees. Ukiunganisha na walimu wangu wa math wote walikufa premature death nimeonelea bora nijikite kwenye siasa sasa.
 
Afu x na y walioana?
Mbona wanapendana hivyo?

Mi nlikuwa mkali wa hadithi za kushangaa... Eti 2 ikishangaa unapata 2, tatu ikishangaa unaibuka na 6.... Nne ikipata mshangao unaibuka na 24 khaaa! Yaani tano ikipigwa bumbuwazi i mean 5! = 120. Khaa!
 
Eti namba yoyote ukiigawanya kwa yenyewe jibu lake ni 1. Lakini sifuri gawanya kwa sifuri jibu lake siyo 1. Mimi bana napenda sana hisabati. Hii sifuri ikishangaa jibu lake nini Kongosho?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom