Happy birthday to me

wakongwe wa ngono?,..ok mi nakumpa ushauri,kwakua mamako anataka uendelee kujirusha ili ufurahie ujana basi usisahau kuwambia wanaume unakutana nao kimwili wawage wanavaa condom.

Vinginevo miaka 35 utaisikia kwenye kipindi cha majira tu,kwani hutoifikia.

Ina maana kufurahia ujana ni kulala na wanaume?? huh!!!
 
Umri na shule vinahusiano gan???.....
Wapo wenye miaka 50 na wapo diploma sembuse yy 1st year degree!!!
H'day......ingawa lugha ujifunze

Good!!!

Manake hata mimi na miaka yangu 61 ndo kwanza niko mwaka wa kwanza open yunivasite.
 
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe

Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Miaka 23 bado unajiona mtoto? Mimi mke wangu akiwa na mika 23 alikuwa tayari na watoto 2.
 
wana Jf vingine tujitahidi kufunika kombe. Haya sasa, mshaitia sumu furaha yake ya leo. miss neddy usisome tena hapa walau kwa leo tu. Heri ya siku ya kuzaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Miaka 23 bado unajiona mtoto? Mimi mke wangu akiwa na mika 23 alikuwa tayari na watoto 2.

Mapacha??? Au vinginevyo wewe utakuwa ni Laigwan la kule Longido!!
 
I believe u have climbed high mountains, walked on thorny paths, sailed on the raging seas and took a ride on dangerous highways.

C'mon let's face it; Your God - Jehova has always been faithful all the way. Enjoy your day, you are worth it.

Happy Birthday.
ahsante nashukuru sana
 
haya hongera na
HAppy birthday miss neddy...

take my cake tafadhali

images
hahahahahahahahaha hiyo hapana
 
Last edited by a moderator:
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe

Miss Neddy umezaliwa tarehe moja na Akili Unazo!! kweli tunafanana na mi pia ni mtoto wa mwisho..Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Happy Birth Day twin na inawezekana kabila moja
 
waooo...hap birthday ma dear..let me sing a song 4 u...
hap b.day to uuu...
hap b.day to uuu.....
hap b.day dear wewe ...
hap b.day to uuuu.....
I WISH U ALL U WISH 4 URSELF..MAY GOD BLEC U EN ENJOY UR DAY...

ahsante nashukuru sana
 
halloooo J.F naomba wimbo wa HAP B.DAY umfikie MIC NEDDY...
ujumbe mshukulu mungu kwa kukufikisha cku ya leo..mheshimu MAMA aliyekubali kukuweka tumboni miezi 9 na kukulea mpaka kufika cku ya leo...kwani wadada wengi leo hii wanatoa mimba bila kuwahulumia viumbe hawa wasio na hatia.all de best..

nashukuru sana ahsanteeeeee
 
Miss Neddy umezaliwa tarehe moja na Akili Unazo!! kweli tunafanana na mi pia ni mtoto wa mwisho..Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Happy Birth Day twin na inawezekana kabila moja

mhhhhhhh inawezekana me mnyamwezi wewe je
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom