Happy birthday to me

Itakuwa ulianza Certficate sema sio mbaya,komaa na kitabu ukitaka zawadi ya Bday nichk pm,ofisini ni karibu ya chuo chenu

hayo ya certificate hayakuhusu sijui nini hayakuhusu ahsante kwa zawadi pongez zinatosha
 
mbona kama umepanic? hii ndio jf inabidi uzoee comment za shombo mama. halafu unakoelekea utataja hadi jina na mahali unapoishi maana naona unafunguka sana bana

ujue wengine wana maudhi sana
 
When someone respect him/her self its must to others respect u too.IN GOD WE TRUST
 
Attachments

  • 1386842735258.jpg
    1386842735258.jpg
    112.3 KB · Views: 41
inategemea na mlezi ya mtu kama amekulia kijijini sawa na kama hajapata elimu ya juu
Wewe ndio utakuwa wa kijijini!! 23 bado upo chuo? tena first year??? yeye alimaliza elimu ya juu akiwa na miaka 22.
 
Wewe ndio utakuwa wa kijijini!! 23 bado upo chuo? tena first year??? yeye alimaliza elimu ya juu akiwa na miaka 22.

imekutach eeeh kama alimaliza chuo na 22 hizo mimba dabo alizibeba mwaka gani
 
Wewe ndio utakuwa wa kijijini!! 23 bado upo chuo? tena first year??? yeye alimaliza elimu ya juu akiwa na miaka 22.

uuuuuuuuwi alimaliza chuo na miaka 22 baaada ya hapo alipotimiza miaka23 akawa tayari na watoto wawili ambao wamepishana one year tafuta uwongo mwingine we mwenyewe unaonekana wa kijjini
 
uuuuuuuuwi alimaliza chuo na miaka 22 baaada ya hapo alipotimiza miaka23 akawa tayari na watoto wawili ambao wamepishana one year tafuta uwongo mwingine we mwenyewe unaonekana wa kijjini
Duh! ngoja niondoke kwenye hii thread....najishushia heshima kuquote posts za katoto kama wewe!! Mchana mwema
 
Happy day mtoto mzuri
Take care, maisha matamu haya lakini ukienda pupa ni machungu kama nyongo
 
Back
Top Bottom