Kidhungu cha Mulugho Deo huwezi kuelewa
yuko chuo first year...
I only reach 23 years ...??? Ushauri wa bure b.day girl ... Jifunze ngeli ...
I only reach 23 years!!!!!
Hicho chuo kitakuwa VETA lazima. Au vile vya International Advanced Diploma, Magomeni.
leo i am new born
nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu
nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo
kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia
niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe
Happy bday. Have a good moment.
Ofe topic"i only reach 23 years' unamaansha nini?
Hata mimi huku sijakuelewa "ofe topic" unamaanisha nini?
I only reach 23 years ...??? Ushauri wa bure b.day girl ... Jifunze ngeli ...