miaka 23 kwa mwanamke cyo mtto angalia wenzako mlomaliza primary saiv ni mamaz so ucjione mtto saaaAAaaaanaa utalemaa akili..
sawa mtto wa mama?
Leo umekuja kipromo zaidi
Akili kumkichwa, kama mtu nakutongoza ni wewe jukumu lako kukubali au kukataa na sio kutangaza. Kinadada wa ukweli ndio wako hivo.
basi sawa. umesomeka ........halafu wenzio mambo ya pm huwa yanaishia huko huko best...........
nimekuelewa me mwenyewe najua humu wengi matapeli
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe

kuwa uyaone mdogo wetu....leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe
ajue pia kuwa nyani mzee kakwepa mishale na mawe mengi...Lol!kuwa uyaone mdogo wetu....