uuuuuuuuwi alimaliza chuo na miaka 22 baaada ya hapo alipotimiza miaka23 akawa tayari na watoto wawili ambao wamepishana one year tafuta uwongo mwingine we mwenyewe unaonekana wa kijjini
tatizo la wabongo baya moja linafunika mazuri mia moja
inategemea na mlezi ya mtu kama amekulia kijijini sawa na kama hajapata elimu ya juu
happy birhday mamy.......... thanks GOD
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Miaka 23 bado unajiona mtoto? Mimi mke wangu akiwa na mika 23 alikuwa tayari na watoto 2.
bravooooo! but dada utamaliza chuo ukiwa mzee miaka 23 1st yr tena mtoto wa kike au ulichelewa kutafuta credt za 4m 4? mama yako anakupa moyo tu wewe sio kinda ushazeeka cku hiz kinda ni miaka 14-18 tu hiyo miaka yako hiyo mi mtoto wa kiume ndo nlikua namaliza varsity ila jipe moyo utamaliza hatakama too aged.
heri ya siku ya kuzaliwa dogo!!!
heri ya siku ya kuzaliwa dogo!!!
Uepuke tu mimba za utotoni, zinatesaje!!!!
all the best...
When someone respect him/her self its must to others respect u too.IN GOD WE TRUST
Duh! ngoja niondoke kwenye hii thread....najishushia heshima kuquote posts za katoto kama wewe!! Mchana mwema
Happy day mtoto mzuri
Take care, maisha matamu haya lakini ukienda pupa ni machungu kama nyongo