>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

Lol...umeifanya siku yangu kuwa nzuri kupita maelezo. Sante sana na ubarikiwe mno..
 
Dah! nimechelewa kuingia hapa leo,nakutakia afya njema na furaha tele maishani lishemeji langu.
Duuh! Hata siamini! Ujue Kaizer na AD wamejitahidi sana kunifanya mwenye furaha siku ya leo ila sasa, furaha ilikuwa bado kukamilika vema manake kila nikitupa jicho kwa wageni waalikwa na wasioalikwa wanaongia hapa ukumbini sikuoni my lovely shemeji uporoto, bt hatimaye nimekuona na roho yangu imepata faraja...kaa hapo, hapo utaletewa kinywaji na ODM.. Karibu sana shemu!
 

Mkuu kwa mila za kwetu maji hayapo kwenye 'vinywaji' inachukuliwa kuwa ni sehemu ya chakula, lakini kwa faida ya wengine maji safi ya Kilimanjaro yapo ya kumwaga! lol
Tafadhali hii isikose "nwa baby" ya Mr Flavour remix....pompom.....polokoto....
 
Kuna majina nitayapiga ban kutumika kwa watu wengine!
List inaandaliwa.
Lol...leo niko kifuraha zaidi. Ndio mana waona wageni nawakaribisha kwa majina yote mazuri... Sirudii tena, nisamehe mwaya..
 
kaizer, sweetie wako aliniahidi kuniletea mchuchumio wa besdei. mi niko ukumbini huku,mambo yote teyari. nawangojea nyie..(njaa,sijui nionje kuku?)

Usijali King'asti, wewe tena...tunamalizia 'kujilipua' hapa manake tulikuwa busy na maandalizi, twaja mara....usijali utamwona sweetie muda si mrefu apa..
 
Mkuu kwa mila za kwetu maji hayapo kwenye 'vinywaji' inachukuliwa kuwa ni sehemu ya chakula, lakini kwa faida ya wengine maji safi ya Kilimanjaro yapo ya kumwaga! lol
Tafadhali hii isikose "nwa baby" ya Mr Flavour remix....pompom.....polokoto....
Hahahaha. Nimeipenda hiyo ya maji ni sehemu ya chakula...lol... Leo kazi yangu kubwa ni kumwomba mwenyezi mungu azidi kukushushia mibaraka ya ukweli....ODM simwoni hapa ukumbini, kaenda kuvaa tai au? Manake kuna mda nilimwona kavaa suti bila tai, nkastaajabu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…