>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

hahaha tena Apollo nadhani ndo anaanza anza ivo

ivi apa jasho linanitoka manake nimebeba makreti ya soda, bia, kuna valuer, wine za Dodoma, kuna JD mbili, konyagi za kumwaga, Grants zipo kubwa mbili, Amarula kama kawaida, kisha kuna Savanna Dry za kumwaga, na ViREDDS vya kumwaga,,,,,,za kienyeji kuna dengelua, mbege na ulanzi

Idara ya msosi sweetie ndo anashughulikia ila nimeona Pick up inashusha nyama , kuku, samaki fresha na mazaga zaga kibao hata siyajui!

King'asti namwona na mapambo yake ameshaanza kazi yake apa....DJ Apollo nadhani ako kwen muziki so kama una favourites zako umwambie kabisa SL

Mimi na ODM ndo tunaendelea kukagua vinywaji hapa...
Lol...umeifanya siku yangu kuwa nzuri kupita maelezo. Sante sana na ubarikiwe mno..
 
HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY

images
Thanx vry much lily F. Karibu sana mpendwa...
 
Dah! nimechelewa kuingia hapa leo,nakutakia afya njema na furaha tele maishani lishemeji langu.
Duuh! Hata siamini! Ujue Kaizer na AD wamejitahidi sana kunifanya mwenye furaha siku ya leo ila sasa, furaha ilikuwa bado kukamilika vema manake kila nikitupa jicho kwa wageni waalikwa na wasioalikwa wanaongia hapa ukumbini sikuoni my lovely shemeji uporoto, bt hatimaye nimekuona na roho yangu imepata faraja...kaa hapo, hapo utaletewa kinywaji na ODM.. Karibu sana shemu!
 
heheheeee! Kaizer umenifurahisha sana. Hayo makreti ni nomaaa. Hongera kwa kujitolea.
Naona sekta ya vinywaji unaiweza saaaana. Sasa mbona hata maji hamna? Hehehehee.

Mimi kwanza nampa dedctn ya 'if today was ur last day' ulioimbwa ni Nickelback. Nathani unamfaa.

Mkuu kwa mila za kwetu maji hayapo kwenye 'vinywaji' inachukuliwa kuwa ni sehemu ya chakula, lakini kwa faida ya wengine maji safi ya Kilimanjaro yapo ya kumwaga! lol
Tafadhali hii isikose "nwa baby" ya Mr Flavour remix....pompom.....polokoto....
 
kaizer, sweetie wako aliniahidi kuniletea mchuchumio wa besdei. mi niko ukumbini huku,mambo yote teyari. nawangojea nyie..(njaa,sijui nionje kuku?)

Usijali King'asti, wewe tena...tunamalizia 'kujilipua' hapa manake tulikuwa busy na maandalizi, twaja mara....usijali utamwona sweetie muda si mrefu apa..
 
Mkuu kwa mila za kwetu maji hayapo kwenye 'vinywaji' inachukuliwa kuwa ni sehemu ya chakula, lakini kwa faida ya wengine maji safi ya Kilimanjaro yapo ya kumwaga! lol
Tafadhali hii isikose "nwa baby" ya Mr Flavour remix....pompom.....polokoto....
Hahahaha. Nimeipenda hiyo ya maji ni sehemu ya chakula...lol... Leo kazi yangu kubwa ni kumwomba mwenyezi mungu azidi kukushushia mibaraka ya ukweli....ODM simwoni hapa ukumbini, kaenda kuvaa tai au? Manake kuna mda nilimwona kavaa suti bila tai, nkastaajabu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom