sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Sante sana kaka mpendwa chatu dume.... Karibu sana!Happy Birthday mtoto mzuri Sweetlady!
Sante sana kaka mpendwa chatu dume.... Karibu sana!Happy Birthday mtoto mzuri Sweetlady!
Sante sana kaka mpendwa ritz... Barikiwa sana!Mungu akuzidishie maisha marefu bibie...lol....
Mkuu kwa mila za kwetu maji hayapo kwenye 'vinywaji' inachukuliwa kuwa ni sehemu ya chakula, lakini kwa faida ya wengine maji safi ya Kilimanjaro yapo ya kumwaga! lol
Tafadhali hii isikose "nwa baby" ya Mr Flavour remix....pompom.....polokoto....
Lol... Sante sana Ibrah....karibu party ndo lishaanza huku ila sikuoni hapa ukumbini....Sweet Lady, nakutakia heri, fanaka, na baraka tele ktk maisha yako.
Kumbuka; growing old is growing too. Utu uzima haupigi hodi unapoingia, utaona happy birthday nyiiingi kumbe ndo uzee huo.
Happy Birthday Sweetlady
Lol.... Nimeishiwa na chakusema! Sante sana wifi yangu mpenzi Ad... Mungu akubariki sana, sana. I love you so much! Mwaaaaaah 2u!
HAppy Birthday SL
Uwe na uhakika tu Mi na sweetie tuko very busy kukuandalia whatever you wished for
Ila juzi kwen Bday ya Kivumah kuna watu walilewa kipita kiasi, hivyo AD inabidi tuwe na kamati ya vinywaji nyingine kweny hii ya SL,,,sipendi kuwataja hapa kwa ajili ya usalama wao
Natanguliza kukutakia kila la heri kwenye hii siku yako na siku zijazo mbeleni. Zingatia alichosema Hommie mwenzangu, MOD wa majukwaa yote, kiongozi mwenzangu wa ISC kuhusu namna ya kuishi mwenyewe na watoto wako uli/takaojaaliwa.
Mungu akubariki sana na tuonane baadaye. Miss you.
Hommie unataka BAN ili ukwepe kuwatendea haki TBL baadaye jioni? Shemejio leo kaamua kabisa lazima mtu afleti
hahaha tena Apollo nadhani ndo anaanza anza ivo
ivi apa jasho linanitoka manake nimebeba makreti ya soda, bia, kuna valuer, wine za Dodoma, kuna JD mbili, konyagi za kumwaga, Grants zipo kubwa mbili, Amarula kama kawaida, kisha kuna Savanna Dry za kumwaga, na ViREDDS vya kumwaga,,,,,,za kienyeji kuna dengelua, mbege na ulanzi
Idara ya msosi sweetie ndo anashughulikia ila nimeona Pick up inashusha nyama , kuku, samaki fresha na mazaga zaga kibao hata siyajui!
King'asti namwona na mapambo yake ameshaanza kazi yake apa....DJ Apollo nadhani ako kwen muziki so kama una favourites zako umwambie kabisa SL
Mimi na ODM ndo tunaendelea kukagua vinywaji hapa...
jamani party inaendelea ODM anawajibika ipasavyo, Muziki ndo umekolea ila mlangoni naona kama kuna magate crashers........
Mpenzi asante kwa kuniwakilisha ipasavo... maana hadi nilihisi SL anaweza kua mpweke for nilimuacha hapa siku nzima.... BUT Thankfully watu kibao wamempa Co. Nawashukuru woote pamoja na you my speacial Man.... No wonder pande za usafiri na Vinywaji vimeenda vizuri... You know i was so busy with the buffet to notice hasa what you were doing... Thanks hon' For standing up beside me on this special day to Sweet lady... I am so proud of you.... (ndio maana kumbe Apollo karudia saana my fav song ya "nwar baby".... kumbe you requested...Thanks hon' you are a God sent1) Nimeona ODM leo alikua na nidhamu kwenye kinywaji... kumbe akipewa responsibilities anatulia...lol
SL leo kafurahi sana...nimeibia tu kuamka ili kushukuru kwa niaba yake...shukrani kwa nyote...

THANKS YOU BABE...you can always count on me honey....God bless you for all what you have done to make this day so Special....SL and VD have appreciated quite a lot....lets go now..its time for US
Have I missed it? no, bado kidogo. Happy birthday dear, Mungu akuongezee another 100 years of happiness and Love. kiss