>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

Nilikua tu nimepotea na matread humu humu sikuona hii. asante sana kwa kunikaribisha, nime fika sasa. lol
Nimeleta na kazawadi... have fun...

have fun.jpg
 
Usijali dearest... thea for you hasa siku spesheli kama hizi.... Mungu akubariki pia... Love you too SL...
Thanx, thanx and thanx! Na imekuwa spesheli kweli. Nawashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuifanya ikawa ilivyokuwa. Mungu awabariki sana. Jf membazi ni zaidi ya ndugu! Idumu jf!
 
happy b day sweetlady
Sante The Boss, bt nasikitika sikukuona kwenye party mpendwa, ila nashukuru mambo yameenda vizuri. Tumemaliza salama. Namshukuru sana AD na my lovely shemeji Kaizer, wamefanya kazi kubwa sana.
 
Thanx, thanx and thanx! Na imekuwa spesheli kweli. Nawashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuifanya ikawa ilivyokuwa. Mungu awabariki sana. Jf membazi ni zaidi ya ndugu! Idumu jf!

Oh! jamani sweet L... Umeamkaje?? kakangu kasema jana ulikua hoi! (did you like the food??)
 
SL leo kafurahi sana...nimeibia tu kuamka ili kushukuru kwa niaba yake...shukrani kwa nyote...
Sante love kuniwakilisha, ujue nilichoka mbaya... Jitahidi tumtafutie your lovely dada AD na my lovely shem Kaizer zawadi ya kuwashukuru.. Umeona mwenyewe walivyohakikisha nafurahia siku yangu ya kuzaliwa bila bugudha eeh? Nawapenda sana AD na Kaizer..
 
Oh! jamani sweet L... Umeamkaje?? kakangu kasema jana ulikua hoi! (did you like the food??)
Waooo! Everything was OK mpendwa. Kwa upande wa msosi kweli umejitahidi sana wifi yangu. King'asti nae hakubaki nyuma upande wa mapambo. ODM namshukuru sana alihakikisha upande wa vinywaji unaenda vizuri. Inshort mlijipanga na Mungu awabariki sana!
 
Waooo! Everything was OK mpendwa. Kwa upande wa msosi kweli umejitahidi sana wifi yangu. King'asti nae hakubaki nyuma upande wa mapambo. ODM namshukuru sana alihakikisha upande wa vinywaji unaenda vizuri. Inshort mlijipanda na Mungu awabariki sana!

oh! Jamani wifi yangu sooo appreciative dearest.... hata hivo anything for you... ila Wifi hio kazi yako ya u-bodyguard kwa ODM... Si bora tafuta nyingine... are you happy na ile kazi?? Shem wangu mwenyewe yule sometimes msumbufu...lol
 
ndo uzuri wa jungu kuu,halikosi ukoko. hope umeridhika. naona mambo yameisha salama kaka kaizari,nami ndo natoka ukumbini. kuna glasi odm aliondoka nazo?naona kuna shoti...

hahahaha!! Umenimalia!! hata hivo aliondoka na Mama Matesha... unafikiri angemuachia?? Thubutu....lol
 
anything for u sweetpie. ila nanilii ana wivu sana banaa,muambie apunguze. ndo adha ya kuwa na mrembo,lol! usisahau kunipromote kwenye vikao vya harusi basi manake nna kakampuni uchwara ka mapambo na keki. did u love the dancing cake?
Waooo! Everything was OK mpendwa. Kwa upande wa msosi kweli umejitahidi sana wifi yangu. King'asti nae hakubaki nyuma upande wa mapambo. ODM namshukuru sana alihakikisha upande wa vinywaji unaenda vizuri. Inshort mlijipanga na Mungu awabariki sana!
 
ndo uzuri wa jungu kuu,halikosi ukoko. hope umeridhika. naona mambo yameisha salama kaka kaizari,nami ndo natoka ukumbini. kuna glasi odm aliondoka nazo?naona kuna shoti...
Hahahahaha! King'asti umeamua kumchekesha mtoto asubuhi, asubuhi...ujue ODM alilewa mno, akiamka pombe zitakuwa zimeisha and hope atazirudisha glass za watu...lol
 
wifi unacheza na odm eh? hakawii kuwa aliiweka kwenye tuxedo yake. jana (hivi 2 hrs ago ni jana?) mama matesha alikua na kazi ya kushikilia mkono,sijui kama high heels zake zilifika home salama.

Kweli mawifi ninao..... Khaaa!!! ........lol..
 
anything for u sweetpie. ila nanilii ana wivu sana banaa,muambie apunguze. ndo adha ya kuwa na mrembo,lol! usisahau kunipromote kwenye vikao vya harusi basi manake nna kakampuni uchwara ka mapambo na keki. did u love the dancing cake?
Nitaongea nae mpendwa!...lol...cake ilikuwa bomba mno, sante for everything mpendwa...ila ule mchuchumio alokuletea wifi Ad almanusura jana ukuumbue jana ukumbini... Kama sio husni kukushika ungeanguka ujue!
 
afu alipania glasi za watu toka jana! odm ana makusudi sana,wala hatorudisha. na jeuri ya pesa, hakawii kuwalipa dozen! ngoja afufuke umuone! weeh,usicheke sana,kunguru atachukua fizi zako meno yataota kwenye ulimi!
Hahahahaha! King'asti umeamua kumchekesha mtoto asubuhi, asubuhi...ujue ODM alilewa mno, akiamka pombe zitakuwa zimeisha and hope atazirudisha glass za watu...lol
 
wifi unacheza na odm eh? hakawii kuwa aliiweka kwenye tuxedo yake. jana (hivi 2 hrs ago ni jana?) mama matesha alikua na kazi ya kushikilia mkono,sijui kama high heels zake zilifika home salama.

King mie niseme hayo masaa machache yalopita maana kweli two hours ago sio jana tena.... Tuombe Mungu jana ODM awe alikua na Mzuka wa Kutenda mambo ya kiutu uzima ili ziwe zilionekana wakati wa kutoa hizo nguo....lol
 
karibu mpenzi,it was a special one for u.
mchuchumio ule kama sio kupendana sana na wifi yangu,ningesema alinifanyia makusudi. i needed a feet massage kwa kweli,manake nilipata muscle cramps,lol! ila mkwe wangu husn sijui kanacheza karate! manake alivyonirukia kuniokoa,mwanangu akileta mchezo anachezea kichapo wallah!
Nitaongea nae mpendwa!...lol...cake ilikuwa bomba mno, sante for everything mpendwa...ila ule mchuchumio alokuletea wifi Ad almanusura jana ukuumbue jana ukumbini... Kama sio husni kukushika ungeanguka ujue!
 
Thanx, thanx and thanx! Na imekuwa spesheli kweli. Nawashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuifanya ikawa ilivyokuwa. Mungu awabariki sana. Jf membazi ni zaidi ya ndugu! Idumu jf!

Sante The Boss, bt nasikitika sikukuona kwenye party mpendwa, ila nashukuru mambo yameenda vizuri. Tumemaliza salama. Namshukuru sana AD na my lovely shemeji Kaizer, wamefanya kazi kubwa sana.

Oh! jamani sweet L... Umeamkaje?? kakangu kasema jana ulikua hoi! (did you like the food??)

Sante love kuniwakilisha, ujue nilichoka mbaya... Jitahidi tumtafutie your lovely dada AD na my lovely shem Kaizer zawadi ya kuwashukuru.. Umeona mwenyewe walivyohakikisha nafurahia siku yangu ya kuzaliwa bila bugudha eeh? Nawapenda sana AD na Kaizer..

Waooo! Everything was OK mpendwa. Kwa upande wa msosi kweli umejitahidi sana wifi yangu. King'asti nae hakubaki nyuma upande wa mapambo. ODM namshukuru sana alihakikisha upande wa vinywaji unaenda vizuri. Inshort mlijipanga na Mungu awabariki sana!

ndo uzuri wa jungu kuu,halikosi ukoko. hope umeridhika. naona mambo yameisha salama kaka kaizari,nami ndo natoka ukumbini. kuna glasi odm aliondoka nazo?naona kuna shoti...

oh! Jamani wifi yangu sooo appreciative dearest.... hata hivo anything for you... ila Wifi hio kazi yako ya u-bodyguard kwa ODM... Si bora tafuta nyingine... are you happy na ile kazi?? Shem wangu mwenyewe yule sometimes msumbufu...lol

hahahaha!! Umenimalia!! hata hivo aliondoka na Mama Matesha... unafikiri angemuachia?? Thubutu....lol

anything for u sweetpie. ila nanilii ana wivu sana banaa,muambie apunguze. ndo adha ya kuwa na mrembo,lol! usisahau kunipromote kwenye vikao vya harusi basi manake nna kakampuni uchwara ka mapambo na keki. did u love the dancing cake?

Hahahahaha! King'asti umeamua kumchekesha mtoto asubuhi, asubuhi...ujue ODM alilewa mno, akiamka pombe zitakuwa zimeisha and hope atazirudisha glass za watu...lol

wifi unacheza na odm eh? hakawii kuwa aliiweka kwenye tuxedo yake. jana (hivi 2 hrs ago ni jana?) mama matesha alikua na kazi ya kushikilia mkono,sijui kama high heels zake zilifika home salama.

Nitaongea nae mpendwa!...lol...cake ilikuwa bomba mno, sante for everything mpendwa...ila ule mchuchumio alokuletea wifi Ad almanusura jana ukuumbue jana ukumbini... Kama sio husni kukushika ungeanguka ujue!

afu alipania glasi za watu toka jana! odm ana makusudi sana,wala hatorudisha. na jeuri ya pesa, hakawii kuwalipa dozen! ngoja afufuke umuone! weeh,usicheke sana,kunguru atachukua fizi zako meno yataota kwenye ulimi!

King mie niseme hayo masaa machache yalopita maana kweli two hours ago sio jana tena.... Tuombe Mungu jana ODM awe alikua na Mzuka wa Kutenda mambo ya kiutu uzima ili ziwe zilionekana wakati wa kutoa hizo nguo....lol

karibu mpenzi,it was a special one for u.
mchuchumio ule kama sio kupendana sana na wifi yangu,ningesema alinifanyia makusudi. i needed a feet massage kwa kweli,manake nilipata muscle cramps,lol! ila mkwe wangu husn sijui kanacheza karate! manake alivyonirukia kuniokoa,mwanangu akileta mchezo anachezea kichapo wallah!

hahahaha THANK YOU GALS yaani nimecheka....hapa it looks more like gals talk mi nawatch tu hapa...

This tell kwamba party ya jana was a bam.....ngoja nimsubiri hommie wangu ODM asome katikati ya misatari apo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom