Kufia kwenye vifua vya watoto wa 2000 sitawezaHapo unafeli sasa ! kwaumri huo vibinti vijana ndio saizii yako damu changa inachemka wanakupa vitu motomoto
Mie acha nipambane nauzee wangu tu
Ogopa tako lenye gia wewe usitake watu wafukue makaburiWeee nitoe wapi trako mi kha!
Kumbe na wee ulilionaa eeeeh balaa ileKumekucha kumekuchhhaaaaaa 😂
Kama mfanano wako ni hiyo avatar; hayo ndio mapigo yangu; nikilipwa kiinua mgongo changu inabidi nikutafuteHivo ndo vyenyewe sasa achana na mizee
Kama huna hiyo shepu, sikusumbui tenaaaaNifanane nahio avatar nitrambe!! Sina hata hio shepu
Anapatikana wapi huyoKabiiiiiiisa hata sifananii nahii avatar!!
Sawa sawa, kiinua mgongo changu kimesalimika 😀Hata najuaaa basiii nilidaulodi mitandaoni hukooo
😆😆😆😆😆 hapana nimeshangaa tu kumbe bado mnanyanduanaUmeanza uchawi lini wee Antonio????🤨🤨
Yeah maisha marefu kwakeee