mfuaji
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 632
- 1,101
Mkuu una uhakika Mimi na mama ndege ni wapenzi? 😃Nilikuwa naona mnatagiana kila nyuzi maybe nikasema mtu na rafiki ake ko labda ule ushoshti
Asa Kuna siku nikaona nyuzi ya happy birthday mahondaw, nikapigwa na butwaa Kali sana
Ndo nikajua ni wapenzi kama mfuaji na Mama Ndege