Happiest birthday smart wa mama.... Toa location ya kekiEvelyn Salt acha uchoyo wa wishes...
Acha kutia tia huruma kwenye nyuzi za watu!Nimelia sana nikiona bado wanawake wa aina hii wapo alafu sio wangu ni wa nwingine .
Yooioooooo mama nimepiga mwano huu hapa ndani
Happy birthday wewe gujamaa ,tunza hiyo mali bwana
It's not about kupeanaSema wewe utataka nini au utanipea nini...
Sio hivoooo babygirl! 🤩Try him ufurahie maishaaaa hutojutraaaaa!It's not about kupeana
It's about kupendana. Mahondaw loves u and you love her
Kwengine unataka upewe ili ufaidike na nini? 😝
Hahaha you are so crazy... hahahah muache Angel Nylon usim challenge sana... hahah katalia sasa hivi...Sio hivoooo babygirl! 🤩Try him ufurahie maishaaaa hutojutraaaaa!
He's so amazing so wonderful walai!😋😋😋😁
Wee mpeee kwanza mtapendana mbele kwa mbeleeeee mpe vyoteee😁
😹😹😹 kesi yako ngumu siwezi kukutetea..!!Hahahaha kumbe sio mahondaw!!
Afu nikajuaga ni mtu na shost ake kumbe wazee wa gegedo 😂
Ha ha haaaaaa, what is this sasa? Sijawahi kuona a lady akimtoa his man like this!!!!Sio hivoooo babygirl! 🤩Try him ufurahie maishaaaa hutojutraaaaa!
He's so amazing so wonderful walai!😋😋😋😁
Wee mpeee kwanza mtapendana mbele kwa mbeleeeee mpe vyoteee😁
Ah wee....ulishasikia mume au mke akadivorce chama analosl support?😁😁😁
💃💃💃💃💃💃!
Huwezi elewaaaa hii codiiiii only genius Smart understand that!!
Anafaidi kweli kuna siku bimdasha alipost picha yake hapa...aisee ana litako lizuri sanaSmart anafaidi wallahi 😋,nikiwa mkubwa nataka nifaidi kama smart
Usiziogope heka heka, tena huko zenji sii hamnaga shida ku-share...Ha ha haaaaaa, what is this sasa? Sijawahi kuona a lady akimtoa his man too like this!!!!
Kwa hali hii wacha nibaki njia kuu nisije nikatelekeza familia Zenji nikahamia Kianga
Kumekucha kumekuchhhaaaaaa 😂Anafaidi kweli kuna siku bimdasha alipost picha yake hapa...aisee ana litako lizuri sana
Hekaheka lazima niziogope, nishazeekaaa😛Usiziogope heka heka, tena huko zenji sii hamnaga shida ku-share...